Maandimisho ya Siku ya Hedhi salama

Maandimisho ya Siku ya Hedhi salama

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Siku ya Hedhi Salama huadhimishwa ikiwa na lengo la kuleta pamoja sauti za wadau mbalimbali ili kuhamasisha Hedhi salama kwa Wasichana na Wanawake

Siku hii huvunja ukimya na kubadili mitazamo hasi iliyopo katika Jamii kuhusu masuala ya Hedhi

Maadhimisho haya yanalenga kuhamasisha upatikanaji wa mahitaji yote muhimu kwa Mtoto wa Kike kama pedi, Maji safi na salama na sehemu salama ya kubadilisha pedi kwa wakati
 
Back
Top Bottom