Maandishi kwenye gari yanafutwa vipi?

Maandishi kwenye gari yanafutwa vipi?

Bhakusyobhile

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
65
Reaction score
198
Habari wana-jamii forum?.Naomba msaada,..Kuna gari hapa imekuja kutoka JAPAN (ni NOAH TOWNACE) imekuja na maandishi kwenye kioo cha mbele,pembeni kwenye bonet na nyuma. Ni maandishi yaliyo andikwa kwa wino mweupe kwa miandiko tofautitofauti,nadhani ni wakati wanafanya clearing kwenye mabandari.Sasa nimejaribu kufuta lakini hayafutiki.,Je naweza kutumia njia gani kuyafuta pasipo kudhuru gari?maana yanaleta show mbaya kwenye gari!
 
  • Thanks
Reactions: Ctr

Ngoja wataalamu waje.
 
Mwagia mafuta ya taa then washa moto...kua makini Kwenye kuzima ukishindwa wapigie fire nazani watafta kiufasaha zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Moderator hawatendi haki, member kama nyie ni kupigwa life ban maaana michango ya hivi ndiyo inaleta Tafsir kwamba JF imekuwa jukwaa la ovyo ovyo ona sasa Hata huyu Amber Rutty naye yuko humu... shit.
 
Habari wana-jamii forum?.Naomba msaada,..Kuna gari hapa imekuja kutoka JAPAN (ni NOAH TOWNACE) imekuja na maandishi kwenye kioo cha mbele,pembeni kwenye bonet na nyuma. Ni maandishi yaliyo andikwa kwa wino mweupe kwa miandiko tofautitofauti,nadhani ni wakati wanafanya clearing kwenye mabandari.Sasa nimejaribu kufuta lakini hayafutiki.,Je naweza kutumia njia gani kuyafuta pasipo kudhuru gari?maana yanaleta show mbaya kwenye gari!

hongera kwa kununua gari
 
Nenda kwenye maduka ya rangi, waambie unaomba mafuta ya kufutia rangi, yanaitwa tina. Utapewa. Waweza kwenda na gari wakakufutia dk kumi tu. Tena bila kuumiza gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia alcohol (spirit) hapa unaweza tumia kemikali yoyote yenye -OH group (K-vant, Konyangi na spirit nyingine, au unaeza tumia alchohol za maabara), petrol inaweza kutumika kwa kua ina fuel additive ETBE(ethyl tert-butyl ethanol) ambayo inasaidia kwenye kuondoa huo wino mweupe.
 
Attachments

  • BG080208_b6033b.jpg
    BG080208_b6033b.jpg
    33.9 KB · Views: 38
Back
Top Bottom