Maani yangu kwa vyama vya siasa baada ya yaliyofanyika Oktoba,29

Maani yangu kwa vyama vya siasa baada ya yaliyofanyika Oktoba,29

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,929
Reaction score
33,764
Yaliyotokea Oktoba 29,kwa maoni na mawazo yangu yametokana na yafuatayo
1.Kukosekana kwa usawa wa kidemokrasia katika chaguzi,

2.Udini,Uzanzibar na Ujinsia.

Suluhisho.
1.Kwa chama chochote cha siasa chenye nia ya kumsimamisha mgombea wa Urais ambaye ni muslim kihakikishe huyo Mgombea anakubalika kama alivyokuwa Kikwete lasivyo kulazimisha ni kuanza kutengeneza maafa maana kwa Tanzania Christians ni wengi kuliko Muslims.Kwa hiyo ni hulka ya mwandamu kujiona yupo salama kwa mtu wanaendana kuliko wasioendana kama ambayo ilivyo kwa Muslims kuwa waislamu wote ni ndugu,

2.Kama chama kina lengo la kumsimamisha Mwanamke kihakikishe ana ushawishi mzito lasivyo mbeleni ni majanga maana katika Jamii hii ya kiafrika na Dunia bado sana kumkubali mwanamke kama Kiongozi, na

3.Issue ya Uzanzibar,lazima mgombea anaye chaguliwa kama mgombea mwenza kutoka Zanziba awe anakubalika kote but sioni kwa namna yoyote ile Mgombea atoke Zanzibar na ikizingatiwa ni Muslim akubalike bara.,

Je Zanzibar watakubali kila wakati wao watoe Makamu wa Rais na sio kushika nafasi ya Urais ikizingatiwa ni nchi kamili? Hapa kuna umuhimu wa katiba kuweka sawa hili jambo lasivyo mbeleni ni majanga.
 
Jamii yetu ya kiafrika bado ina misingi mikubwa sana ya mfumo dume.
 
Back
Top Bottom