Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hapa ni Biblia tuTafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe. Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema asante Mungu, na ikiwezekana fanya sherehe kubwa kumshukuru muumba wako kwa kufanikiwa kukimaliza kukisoma kitabu chote.
Chemsha bongo; maarifa ni chakula cha akili.
Life is too shortHapa ni Biblia tu
20,000/365=54.79
Chemsha bongo; maarifa ni chakula cha akili[emoji848][emoji1534] food for thoughtTafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe. Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema asante Mungu, na ikiwezekana fanya sherehe kubwa kumshukuru muumba wako kwa kufanikiwa kukimaliza kukisoma kitabu chote.
Chemsha bongo; maarifa ni chakula cha akili.
Ukichukua miaka uliyonayo na ukiongezea na hiyo ππ, ni bahati kufika huko. Maisha ya mwanadamu ni mafupiHapa ni Biblia tu
20,000/365=54.79
Kina kurasa ngapi mkuu?Kuna kimoja nakipenda sana kina jina 'jinsi nilivyomnyuka mama wa kambo' ila cha kiinglish
Nimejiwekea malengo ya kusona kurasa mia kila siku.! Nitashukuru nikimaliza mapema
Kweli mkuu, tuishi kwa kuheshimiana wote ni wapitaji tuLife is too short
Ndivyo ilivyo mkuuChemsha bongo; maarifa ni chakula cha akili[emoji848][emoji1534] food for thought
Pamoja mkuuAsante Kwa Taarifa Mkuu
π€£Ukichukua miaka uliyonayo na ukiongezea na hiyo ππ, ni bahati kufika huko. Maisha ya mwanadamu ni mafupi
Mpaka uje ufikie robo ya kitabu, unakuwa umechoka sana πππ€£