Maarifa ni chakula cha akili

Maarifa ni chakula cha akili

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Tafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe.

Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema asante Mungu, na ikiwezekana fanya sherehe kubwa kumshukuru muumba wako kwa kufanikiwa kukimaliza kukisoma kitabu chote.

Chemsha bongo; maarifa ni chakula cha akili.
 
Hos 4:6 SUV​

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
Tafuta kitabu chochote unachokipenda chenye kurasa zisizopungua 20,000; na jiwekee utaratibu au malengo kwa kila siku saa kumi na mbili jioni, lazima usome ukurasa mmoja tu, na usizidishe. Ukifanikiwa kukimaliza kitabu hicho chote kukisoma, kwa muda uliojiwekea bila kukwepesha kwepesha; sema asante Mungu, na ikiwezekana fanya sherehe kubwa kumshukuru muumba wako kwa kufanikiwa kukimaliza kukisoma kitabu chote.

Chemsha bongo; maarifa ni chakula cha akili.
Hapa ni Biblia tu

20,000/365=54.79
 
Chemsha bongo; maarifa ni chakula cha akili[emoji848][emoji1534] food for thought
 
Kuna kimoja nakipenda sana kina jina 'jinsi nilivyomnyuka mama wa kambo' ila cha kiinglish

Nimejiwekea malengo ya kusona kurasa mia kila siku.! Nitashukuru nikimaliza mapema
 
Kuna kimoja nakipenda sana kina jina 'jinsi nilivyomnyuka mama wa kambo' ila cha kiinglish

Nimejiwekea malengo ya kusona kurasa mia kila siku.! Nitashukuru nikimaliza mapema
Kina kurasa ngapi mkuu?
 
Back
Top Bottom