Maaskofu chonde; hubirini habari njema za ufalme wa Mungu na sio ufalme wa dunia hii

Wewe dogo, huwezi kutenganisha Imani na Siasa!
Maaskofu, Mapdre na Wachungaji wanahubiria waumini wao wanaoishi katika dunia hii hii iliyotamalaki siasa.
Waumini hawaishi katika sayari ya Pluto!
Hata Mtume Yohana (the Revelator) alifungwa na Wanasiasa kunako gereza la Patmos, unajua kwanini?
 

Ufalme gan tena? Huo ufalme wa Mungu ni wakufikilika ila wa dunia tunauona na kuujua waache wahbir mambo ya duniani tunayoyaona kuliko hayo abstract hata hatuna uhakika nayo kama yapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…