Sitaki kutia neno, maana komenti yako ipo kihisia zaidi.Warudi tu, we huoni madhira wanayopata wale waafrika waliokuepo Ukraine na Urusi? Baada ya masomo warudi bongo kuhusu ajira zipo tu
Their safety is more importantmaana huko ni kama mkimbizi hauna haki 100% ya kua protected ikifika kipindi vya emergency
Yeah, Maaskofu wanao uhalali wa kusema hivyo kama viongozi, lakini kwa Watanzania waishio Italia ambao ndo walikuwa kwenye kikao hicho wazingatie usemi "Akili za kupewa, ongezea na za kwako". Nimemaliza.Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu.
Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi.
Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo yao.
Je. maaskofu mnajua kadhia ya ajira iliyopo Tanzania kwa sasa? Au mna ajira za kuwapa hao wasomi wetu pindi warudipo au baadaye mtawaambia ombeni Mungu atawasaidia?
Warudi tu, we huoni madhira wanayopata wale waafrika waliokuepo Ukraine na Urusi? Baada ya masomo warudi bongo kuhusu ajira zipo tu
Their safety is more important maana huko ni kama mkimbizi hauna haki/guarantee 100% ya kua protected ikifika vipindi vya emergencies
Sitaki kutia neno, maana komenti yako ipo kihisia zaidi.
Aah ndo hivo mkuu, kama Wako assured na safety wabaki waendelee na maisha ila kama ni otherwise warudi tu makwao ,Ni hisia tu hizi.
Italia ni very peaceful.Aah ndo hivo mkuu, kama Wako assured na safety wabaki waendelee na maisha ila kama ni otherwise warudi tu makwao ,
Je, huko makwao ndo wako assured na safety? Mbona inaonekana ni kama umeshasahau kwamba usalama wako unaanza na ww mwenyewe? Kumbuka na ya huku e.g. juzi kati hapa tulikuwa na matukio Kibiti, Mtwara na yale ya watu kutekwa au kupotea, viroba vyenye miili ya watu ufukweni, bila kusahau magenge ya "panyarodi" n.k. n.k. Utauficha wapi uso wako?Aah ndo hivo mkuu, kama Wako assured na safety wabaki waendelee na maisha ila kama ni otherwise warudi tu makwao ,
Mkuu atleast upo nchini kwako unapewa first priority ya protectionJe, huko makwao ndo wako assured na safety? Mbona inaonekana ni kama umeshasahau kwamba usalama wako unaanza na ww mwenyewe? Kumbuka na ya huku e.g. juzi kati hapa tulikuwa na matukio Kibiti, Mtwara na yale ya watu kutekwa au kupotea, viroba vyenye miili ya watu ufukweni, bila kusahau magenge ya "panyarodi" n.k. n.k. Utauficha wapi uso wako?
Ni kheri uzingatie tu kwamba Maisha ni popote.
Mhh, mkuu;Unasema nchini kwako unapewa first priority! ??? Kwani wale wakimbizi ndani ya makambi yaliyo Kigoma Tz. hawakutokea nchini kwao?Mkuu atleast upo nchini kwako unapewa first priority ya protection
Kasome Civics kidogo, afu nakupa reference ya Ukraine-Russia war
Kuna ubaguzi wa rangi sana piaItalia ni very peaceful.
Kwani kuitwa mtakatifu ni kosa au ni kero kwako? Ni ruksa hata ww unaweza tu kujiita mtakatifu hakuna shida na wala sio tusi na wala hutoshtakiwa mahakamani.Hivi ni Kwa nini huyo kiongozi wenu hua mnamuita mtakatifu ?π€π€π€
maisha popote acha kupotoshaAah ndo hivo mkuu, kama Wako assured na safety wabaki waendelee na maisha ila kama ni otherwise warudi tu makwao ,
Nakazia na kuongezea kidogo: Wapo vijana wahuni kupindukiaKuna ubaguzi wa rangi sana pia