Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology

Sio rahis kihivyo
 
Duuh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nani aliyekudanganya tukiibiwa mapadre hawajui wewe mjinga? na kuheshimu taaluma za watu, sio kufumbia macho wizi na ujinga, unaoandikwa kwenye mikataba husika.

Kaa chini tafakari.
 
Hao maaskofu wangejikita katika masuala ya kiroho haya ya kiuchumi yamewazidi kimo. Wasilete nongwa za kipuuzi watulie tu.

Mkataba uliosainiwa pale Ikulu ni wa kibiashara na hakuna mtu hata mmoja wa serikalini atakayethubutu kuuweka hadharani, atakuwa anajitafutia maumivu makubwa yeye na familia yake.

Mikataba hii ya sasa ni siri za kibiashara haiwekwi wazi hovyo tu eti kila mtu aweze kuisoma!, hakuna ujinga kama huo duniani pote.
 
Nani aliyekudanganya tukiibiwa mapadre hawajui wewe mjinga? na kuheshimu taaluma za watu, sio kufumbia macho wizi na ujinga, unaoandikwa kwenye mikataba husika.

Kaa chini tafakari.
Mkataba uliokwisha kusainiwa mbele ya Rais na Makamu wake hauwezi tena kuja kuvuja humu mitandaoni, ni siri za kibiashara za pande mbili, serikali na DP World.

Ule IGA uliovuja hauna tatizo kwa mwekezaji kwani ni kanuni tu, ni ufupisho tu wa nini kinakwenda kufanyika.
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Afya ya akili.
 
Huyo Father Kitima ni mtu wa CHADEMA, kuna anachotafuta na atakipata.
 
Kama mkatoliki pia sitegemei kwa kanisa kurudi nyuma pasi nakuona huo mkataba mpya ambao wahaini hawa wa nchi wanadai wameulekebisha
Mkataba huo uliosainiwa ukiwekwa hadharani maana yake serikali yetu imeshtakiwa na hao DP World, mapadre wangejikita kwenye masuala ya liturjia za kanisa haya masuala ya kiuchumi wayaache kwa wataalam.
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Aahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…