Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

hapana inasemeka tec ndio wameiweka serikali madarakani na taifa kwa ujumla linaongozwa na tec bila tec serikali hakuna laiti waisilamu wangelikuwa ndio hao tec wangeshavamiwa hadi misikitini kisingizio wanapanga shambulizi la kigaidi ila imefikia wakati taasisi za kidini ziendelee na mahubiri kwa waumini wake wamfahamu mungu wao iweke pembeni siasa na serikali liendelee na majukumu ya kitaifa na kimatafa kazi iendelee
hivi kumbe kuna mpumbavu km wewe hapa duniani na bado useme umeenda shule?
 
Sio kwa ubaya tunaomba maaskofu wavalie buti na swala la ile ripoti ya CAG tunajua wanauchungu kama watanzania wengine na ili msilikalie kimya maaskofu kuleni nao sahani moja hao mafisadi msizibwe midomo na bahasha
 
hivi kumbe kuna mpumbavu km wewe hapa duniani na bado useme umeenda shule?
nilitegemea majibu kama haya hususan kwa mkereketwa kama wewe na bado utatukana sana lakini huo ndio ukweli halisi,ukiendelea kuchukia sana kunywa maji meengi kisha ukalale
 
hata wakutane na papa haisaidi wao ni nani, mkataba umeisha hiyo
 
Hatutaki kujadili kama wanadini ,wajadili kama watanzania wazarendo,maana dini hizi ndiyo chanzo cha umasikini mkubwa unaolikabili bara zima la Africa .wanadini wako radhi hata watz watembee uchi ili mradi mabwana zao wanufaike .namshangaa sana mdogo wangu ney amekazana kuangalia upande Mmoja tu wa watawala anashindwa kujua kama matatizo makubwa ya umasikini mkubwa unaowakabili waafrika ni dini ,dini zimesababisha matatizo mengi pande zote za dunia
 
Ni kweli kelele siyo utaratibu wa Yesu.
Huo ni wa majizi na matapeli yanayotumia jina lake.
Habari ya kula mkate na kunywa divai anahusika.
Aliponya na kufufua kwa maneno machache na mafupi bila kelele.
Kumbuka, "Msipayuke kama watu wa mataifa, maana hao hudhani kua watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mention.......
Wanaojiita manabii wengi wa siku hizi wanatambulishwa na maneno haya kuwa kinyume kabisa na Yesu Kristo.
Uthibitisho mwingine ni ushabiki na ushirika na watawala waovu, wasiotenda haki.
Duh! kumbe wanaoujua ukristo bado wapo? ah.. hizi kwa kweli ni habari njema!
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Bongo makenge wengi sana
 
"Kuna mikataba mibovu mingi TUMEINGIA nyuma huko", ndiyo maana na bandari mnapigwa,maana hata akijitokeza mtu wa kuwasaidia mnamuuliza "ulikuwa wapi?"
Miongoni mwa wanufaika wakubwa wamadili yakishenzi nipamoja nahao wanaojiita viongozi wadini mfano pesa alizo pigania kafulila mpaka akaitwa tumbili kunaviongozi wadini wanamgao pale waulizwe walirudisha?lakini kinacho takakutukosesha pesa hizi zabandari niudini tu na maslahi binafsi
 
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.

Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.

Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.

Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.

Mungu ni mwema.
Kardinali mpya alishapewa zawadi ya vazi jipya pale Tabora!
Katibu wa TEC alishakaribishwa kwenye hafla utiaji Saini mikataba ya DPW...
Unadhani kuna watakuja nalo?
 
Miongoni mwa wanufaika wakubwa wamadili yakishenzi nipamoja nahao wanaojiita viongozi wadini mfano pesa alizo pigania kafulila mpaka akaitwa tumbili kunaviongozi wadini wanamgao pale waulizwe walirudisha?lakini kinacho takakutukosesha pesa hizi zabandari niudini tu na maslahi binafsi
Kafulila naye keshamegewa mafungu... Nadhani tatizo ni njaa na tamaa!
Hata wewe Sixpax ukilengeshewa mgao hukatai!
 
Kwahiyo unafurahi tuendelee kupigwa hata baada ya kugundua kuwa tunapigwa, utakuwa na akili nyingi wewe!!
Sivyo nachoamini nikuwa ulempango wakupitisha vitu bure bandarini unakwenda kukoma alafu pesa tunayokodisha tutakuwa tunapata pato kubwa kuliko sasa tuingize pesa nyingi kuliko sasa tuite tunapigwa. Tuache hali yasasa tuite hatupigwi ila tunanufaika hivi tunaakili kweli kugeuza rangi nyeupe tuite nyeusi?
 
Nauliza kama huu mkataba ungekuwa umasainiwa na makampuni ya wazungu, hawa maaskofu wangetumia nguvu kiasi hiki.

Hii nguvu inayotumika huku mbona hatuioni kwenye madini na gesi.

Missionaries = agents of colonialism
 
Hivi hao jamaa hua wanajiona akina nani yaani? stupid.
 
Nauliza kama huu mkataba ungekuwa umasainiwa na makampuni ya wazungu, hawa maaskofu wangetumia nguvu kiasi hiki.

Hii nguvu inayotumika huku mbona hatuioni kwenye madini na gesi.

Missionaries = agents of colonialism
haitakaa itokee eti nini mzungu atake alafu wakatae milima na mabonde yatasambaratika
 
Back
Top Bottom