Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Attachments

  • Screenshot_20241130_000126_Gallery.jpg
    486.8 KB · Views: 2
Hivi unajua kwamba sheria nyingi kama si zote zinazotumika kuongoza watu ukiwemo wewe zimetoka kwenye bible una habari hiyo? Hivyo ndivyo vichwa vyakutunga sheria Kaa kwakutulia
 
Kwahiyo hata Sheria ya ndoa za wase.nge zimetoka huko huko kwenye bible siyo?
 
Unaamini haya maneno yako yatadhoofisha ustawi wa kanisa Katoliki?
Kanisa ambalo limemgrom mwamedi kutengeneza dini ya hakhi?
Jesus hakuacha kanisa,ni wazungu wamewabrainwash kwa kitu ambacho sicho, Jesus alishuka middle east,sasa huko Vatican imekuaje TENA iwe chimbuko kuu la kanisa?
 
Jamaa jinga sana hili, wakati wa Jiwe ni TEC pekee walisimama kidete kumpinga kwa udhalimu wake...BAKWATA kimyaa huku wakipewa vizawadi zawadi kwa sabb ya njaa zao kali!.
Huu utawala wa kiazi ushungi ni wazi TEC wangeupinga tu una mapungufu mengi tena ya wazi kbs!.
 
Ndio maana kashfa za mapadre kuwakula kondoo zinaongezeka kila uchao kwasababu Maaskofu hawawasimamii tena, bali wako bize na matamko! Ahahahahaha!!!
 
Lengo lao limeshafahamika,hizo ni kelele za chura tuh,serikali inaendelea na kazi kama kawaida.
Lengo lao ni kukemea maovu kwenye jamii. Ni moja ya majukumu hayo na hata wakati mwingine serikali imekuwa ikiwahimiza kufanya hivyo
Tatizo liko wapi?
 
Hongera mleta mada kwa kusaidia kuwatoa wananchi usingizini
 
Sasa MAASKOFU kama wanaona chagadema wameonewa si waungane nao?

MATAMKO yao wapeleke Vatican.

Waraka zao wakafungie vitumbua.
Mi nadhani waache tu waendelee kutoa matamko kwa sababu hayaleti athari zozote. Matamko Yao hata sasa hayajasaidia kubadili chochote!
 
Asipokuelewa basi ni sikio la kufa!
 
Na hivyo vitoto vidogo vinavyolawitiwa na mapdre huko kwenye Sunday schools kwani hatujui??

Mipadre ina nyege ya kufa mtu kuoa imekatazwa KWANINI wasilawiti watoto,nyie hamuogopi??
Jitu kama hili linaamini dini yake inakua kwa kukashifu za wenzie
 
Jesus hakuacha kanisa,ni wazungu wamewabrainwash kwa kitu ambacho sicho, Jesus alishuka middle east,sasa huko Vatican imekuaje TENA iwe chimbuko kuu la kanisa?
Hujui historia ya kanisa, hivyo huwezi kuwa na jibu,uelewa wako wa KISODA
 
Taasisi za kidini zina mchango mkubwa katika kuimarisha demokrasia, utawala bora, haki za binadamu, uwajibikaji, na utu katika jamii ya kidemokrasia inayoheshimu misingi ya utu na ustawi wa watu. Kwanza, taasisi hizi zinatoa mafunzo ya maadili na uongozi wa haki kupitia mafundisho yao, ambayo yanasisitiza umuhimu wa upendo, amani, usawa, na heshima kwa kila mtu. Kwa mfano, Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) mara nyingi huandaa semina za viongozi wa umma na wanasiasa kuhusu uadilifu na wajibu wao kwa wananchi.

Pia, taasisi hizi zimekuwa mstari wa mbele kusimamia haki za binadamu kwa kukemea ukandamizaji, ufisadi, na ukiukwaji wa haki. Kwa mfano, katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taasisi za kidini kama Bakwata na TEC zimekuwa zikitoa tamko la kuhamasisha uchaguzi wa amani na uwazi, zikisisitiza umuhimu wa kuwajibika kwa viongozi wa serikali. Vilevile, kupitia huduma za kijamii kama shule, hospitali, na misaada ya kiuchumi, taasisi za kidini huimarisha ustawi wa watu kwa kutoa huduma kwa wote bila ubaguzi, wakionyesha mfano wa uwajibikaji wa kijamii unaoendana na utu.

Hata hivyo, mchango huu unapingwa na watu wenye msimamo mkali wa ubaguzi wa kidini, wale wanaonufaika na matendo maovu kama rushwa, upendeleo, na ubaguzi wa haki. Watu hawa mara nyingi hujitahidi kuzidhalilisha taasisi za kidini kwa kuzitaka ziachane na siasa, ilihali wao wenyewe wanazitumia taasisi hizi kama kamati za amani katika ngazi za mkoa na taifa. Watu wa aina hii, wasiokuwa tayari kuona haki inatendeka kwa maslahi ya wote, wanafananishwa na wapumbavu na wapora haki, ambao wanakwamisha juhudi za kuimarisha jamii yenye misingi imara ya maadili na utu. Kwa mfano, mara kadhaa taasisi za kidini zimekumbana na upinzani kutoka kwa baadhi ya viongozi au makundi ya watu wanaochukizwa na msimamo wao wa kuhimiza uwazi, ukweli, na uwajibikaji. Hata hivyo, taasisi hizi zinaendelea kuwa sauti ya matumaini kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…