The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Sisi Mashehe tunasema mama anaupiga mwingi.
Nani kama Mama?
Nchi inaenda vizuri , hakuna utekaji hizo ni drama tu hakuna wizi wa kura na pia vifo tutasikitika kwa watakaofia India tu.
Akifa kwa drama za kutekwa tunasema "kifo ni kifo"
Mitano tena kwa mama.
View attachment 3164815View attachment 3164816