Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Halahala , endelea kusimanga wavaa magauni.👇
 
Pasta uwape ukweli. Punguani hawa.
Maaskofu wakiwaombea majizi na mashetañi ya lumumba hayo yanyojiita watawala sawa.wa wakitoa matamko ya kudai haki nongwà.
Siyo ajabu kesho litoa mada likaenda kwenye JUMUIYA NA MIPOMBE KICHWANI
 
Mkuu mbona unaongea kwa hasira sana??

Teh teh teh,Ruksa ya kubanduana Papa kaitoa kwetu au kwenu??

Pambaneni na Hali zenu hadi mfe.
 
Mara Leo waje na DP World,kesho waje na la wamasai shida YENU Nini?
Kukaa kimya kwa huu utawala siyo kwamba eti unawaogopa kama mnavyodhani,hamna mamlaka ya kuipangia serikali kitu chochote,hapa siyo Vatican tambueni.
Sasa wewe utakuwa na chuki binafsi na ukatoliki sababu maaskofu hao si wote ni WA vatican.wewe utakuwa na shida yako na kama uko kwa kuilinda mihimili kandamizi ni sawa lina ujue likitokea la kutokea hata wewe hautakuwa salama labda uhame nchi.watawala wanaowakandamiza wakulima,wafanyakazi,wafugaji nk.watawala wanaowagawa watu kielimu,kiafya, kiutamaduni,kiuchumi huo si utawala bora.utawala unaowaibia watumishi kwa njia ya kikokotoo,kuwanyang'ang'a haki ya matibabu,unaobagua haki ya wazee kutibiwa bure huo ni utawala wa kinyama.
 
Ukweli nu ukweli Maaskofu wanaongea ukweli marangapi yesu aliwasema mafalisayo?



Hao wakandamiza wademokrasia tena watawala mwisho umefika mujitafakari kweli wizi wa kura munao fanya hamuoni haya ?wala aibu?
 
Tofautisha baina ya kanzu na Gauni wewe kafiri,

Besides Mimi nguo la mwarabu ina nihusu Nini??

Gauni ni Gauni,kanzu ni kanzu,kwani nikuulize lile vazi la askofu wewe huoni kuwa ni Gauni OG kbs lile??
Kanzu=Gauni
 
Dini yeyote ikikuingia sana, critical thinking hushuka...

Kila jambo utalitazama kwa mtazamo wa kidini tu, hata lile ulipaswa kuhusisha akili...
 
Dini yeyote ikikuingia sana, critical thinking hushuka...

Kila jambo utalitazama kwa mtazamo wa kidini tu, hata lile ulipaswa kuhusisha akili...
Ofcoz,that's why unaona MAASKOFU kwa sasa midomo mireefu ila enzi zile za mwendazake wakaufyata mkia pamoja na uharibifu woote wa Demokrasia kama ule.

Huo sasa ndiyo tunaita UPOFU wa udini.
 
Ukisoma maandiko yote kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo bila kuruka kitabu hata kimoja utabaini kuwa kuna MATAMKO kupitia kwa manabii na viongozi wa kiimani jinsi MUNGU alivotaka watu wake watendewe na wenye mamlaka!
Hakika nakwambia... hao viongozi wanaojitambua wakiacha kunena kupitia MATAMKO yao ipo siku mawe yatanena kwa ajili ya Wadanganyika!
 
Ofcoz,that's why unaona MAASKOFU kwa sasa midomo mireefu ila enzi zile za mwendazake wakaufyata mkia pamoja na uharibifu woote wa Demokrasia kama ule.

Huo sasa ndiyo tunaita UPOFU wa udini.
Wanatofauti gani na wewe usiye ona maovu ya serikali kwasababu Samia ni mwenzako katika imani?
 
Sasa MAASKOFU kama wanaona chagadema wameonewa si waungane nao?

MATAMKO yao wapeleke Vatican.

Waraka zao wakafungie vitumbua.
Tena kuna mpango wa maandamano na maaskofu wote wa RC.
 
Ofcoz,that's why unaona MAASKOFU kwa sasa midomo mireefu ila enzi zile za mwendazake wakaufyata mkia pamoja na uharibifu woote wa Demokrasia kama ule.

Huo sasa ndiyo tunaita UPOFU wa udini.
Maaskofu definitely si jumuia ya CCM kama ilivyo BAKWATA, hivyo they've the right to criticize whatever they believe is not being done the proper way.
Yoyote anayeona wamevunja sheria apeleke shauri mahakamani. Panicking simply tu eti wametoa waraka inaonyesha kutokujiamini, inferiority complex and low self esteem.
 
Nani aende mahakamani kuwapeleka wahuni wachumia tumbo kama MAASKOFU??

Wao wamekosa tuh ulaji ndiyo maana unaona wanabwabwaja.

Wezi tuh MAASKOFU,hata sakata la escrow walikimbilia kuchukua fedha za haramu eti wakiita fungu la kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…