Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Kelele walizopiga MAASKOFU mara ooh nchi imeuzwa,mara oooh waarabu wamepewa bandari na kadhalika,nani kawasikiliza hao wezi wenu??Yani serikali iache kufanya shughuli za maendeleo wawaogope wale wavaa magauni??

We umeskia wapi,wakachunge kondoo huko na kuiba sadaka,mambo ya kaisari wameshaambiwa wamuachie kaisari.
Halahala , endelea kusimanga wavaa magauni.👇
Screenshot_20241129-142943.jpg
 
Mpumbavu wewe. Ibilisi kaa kimya na uovu wako.

Punguani mkubwa wewe. Hata hujui kuwa ticket ya mwalimu Nyerere kwenda kudai uhuru iligharamiwa ba Kanisa.

Mjinga wewe, hujui kuwa hata mwalimu Nyerere alipofukuzwa kazi ya uwalimu, familia yake ilihifadhiwa na kugharamiwa na Kanisa pale Tosamaganga, kupitia shirika la Mtakatifu Consolata.

Ninyi mashetani wadhulumu haki za wananchi msidhani maneno yenu haya ya kishetani yatawakatisha tamaa viongozi wa dini wanaosimama katika haki.
Pasta uwape ukweli. Punguani hawa.
Maaskofu wakiwaombea majizi na mashetañi ya lumumba hayo yanyojiita watawala sawa.wa wakitoa matamko ya kudai haki nongwà.
Siyo ajabu kesho litoa mada likaenda kwenye JUMUIYA NA MIPOMBE KICHWANI
 
Hizo ndoa zilianzia kwa wajomba zenu ambao walibuni mtindo wa utayari kwa kuvaa msuli bila chupi, na wakajiwekea watwana wa kujiridhisha umende wao. Tabia ys umende ilikuwa ikifanyika pwani ya Afrika Mashariki kuanzia Lamu, Mombasa, visiwa vya Pemba na Unguja na Dar es Salaam ambako wajomba zenu toka Oman walikuwa wakija kwa majahazi na kujipatia watwana bure.
Ungejua historia ya chanzo cha hayo uliyoyataja wala usingeyaandika.
Mkuu mbona unaongea kwa hasira sana??

Teh teh teh,Ruksa ya kubanduana Papa kaitoa kwetu au kwenu??

Pambaneni na Hali zenu hadi mfe.
 
Mara Leo waje na DP World,kesho waje na la wamasai shida YENU Nini?
Kukaa kimya kwa huu utawala siyo kwamba eti unawaogopa kama mnavyodhani,hamna mamlaka ya kuipangia serikali kitu chochote,hapa siyo Vatican tambueni.
Sasa wewe utakuwa na chuki binafsi na ukatoliki sababu maaskofu hao si wote ni WA vatican.wewe utakuwa na shida yako na kama uko kwa kuilinda mihimili kandamizi ni sawa lina ujue likitokea la kutokea hata wewe hautakuwa salama labda uhame nchi.watawala wanaowakandamiza wakulima,wafanyakazi,wafugaji nk.watawala wanaowagawa watu kielimu,kiafya, kiutamaduni,kiuchumi huo si utawala bora.utawala unaowaibia watumishi kwa njia ya kikokotoo,kuwanyang'ang'a haki ya matibabu,unaobagua haki ya wazee kutibiwa bure huo ni utawala wa kinyama.
 
Ukweli nu ukweli Maaskofu wanaongea ukweli marangapi yesu aliwasema mafalisayo?



Hao wakandamiza wademokrasia tena watawala mwisho umefika mujitafakari kweli wizi wa kura munao fanya hamuoni haya ?wala aibu?
 
Dini yeyote ikikuingia sana, critical thinking hushuka...

Kila jambo utalitazama kwa mtazamo wa kidini tu, hata lile ulipaswa kuhusisha akili...
 
Dini yeyote ikikuingia sana, critical thinking hushuka...

Kila jambo utalitazama kwa mtazamo wa kidini tu, hata lile ulipaswa kuhusisha akili...
Ofcoz,that's why unaona MAASKOFU kwa sasa midomo mireefu ila enzi zile za mwendazake wakaufyata mkia pamoja na uharibifu woote wa Demokrasia kama ule.

Huo sasa ndiyo tunaita UPOFU wa udini.
 
Friends and Our Enemies,

Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Ukisoma maandiko yote kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo bila kuruka kitabu hata kimoja utabaini kuwa kuna MATAMKO kupitia kwa manabii na viongozi wa kiimani jinsi MUNGU alivotaka watu wake watendewe na wenye mamlaka!
Hakika nakwambia... hao viongozi wanaojitambua wakiacha kunena kupitia MATAMKO yao ipo siku mawe yatanena kwa ajili ya Wadanganyika!
 
Ofcoz,that's why unaona MAASKOFU kwa sasa midomo mireefu ila enzi zile za mwendazake wakaufyata mkia pamoja na uharibifu woote wa Demokrasia kama ule.

Huo sasa ndiyo tunaita UPOFU wa udini.
Wanatofauti gani na wewe usiye ona maovu ya serikali kwasababu Samia ni mwenzako katika imani?
 
Ofcoz,that's why unaona MAASKOFU kwa sasa midomo mireefu ila enzi zile za mwendazake wakaufyata mkia pamoja na uharibifu woote wa Demokrasia kama ule.

Huo sasa ndiyo tunaita UPOFU wa udini.
Maaskofu definitely si jumuia ya CCM kama ilivyo BAKWATA, hivyo they've the right to criticize whatever they believe is not being done the proper way.
Yoyote anayeona wamevunja sheria apeleke shauri mahakamani. Panicking simply tu eti wametoa waraka inaonyesha kutokujiamini, inferiority complex and low self esteem.
 
Maaskofu definitely si jumuia ya CCM kama ilivyo BAKWATA, hivyo they've the right to criticize whatever they believe is not being done the proper way.
Yoyote anayeona wamevunja sheria apeleke shauri mahakamani. Panicking simply tu eti wametoa waraka inaonyesha kutokujiamini, inferiority complex and low self esteem.
Nani aende mahakamani kuwapeleka wahuni wachumia tumbo kama MAASKOFU??

Wao wamekosa tuh ulaji ndiyo maana unaona wanabwabwaja.

Wezi tuh MAASKOFU,hata sakata la escrow walikimbilia kuchukua fedha za haramu eti wakiita fungu la kumi.
 
Back
Top Bottom