Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Friends and Our Enemies,

Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Kwenye kuwaomba wahubiri amani makanisani mnawatumia na mnawaona wanaumuhimu sana ila kwenye kuusema uovu wenu na ukatili wenu mnawaona wana waingilia, acheni ubinafsi
 
Friends and Our Enemies,

Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?

Kumbuka palikua na Mwarabu Mkoloni na dini yake isiyokemea uovu uliokua unafanywa na watawala na wafanyabiashara wa kiarabu waliokua wanajenga misikiti tu mpaka majumbani mwao na mitaani huku wakiwaaacha Waafrika kuwa watumwa wao bila kujitambua kwa kutokua na Elimu dunia ya kujua masuala ya Utawala ,haki ,uhuru, uchumi, biashara za kimataifa , masoko ,mabenki, sayansi ,sharia na mahakama n.k.

Hapa mara nyingi Vizazi vya waafrika vimekua vikisahaulishwa kwa makusudi habari ya Mkoloni Mwarabu aliyewauza wanaume wa kiafrika kwa zaidi ya karne mbili tangu miaka ya 1700+ Huku akiwazalisha kwa kuwabaka wanawake wa kiafrika ili kubadili kabisa kizazi cha mtu mweusi.

Mwenyezi Mungu kwa Rehema zake za kutaka kubakiza kizazi cha binadamu aliyemuumba yaani mwafrika akaamua kuwaleta Wababe wa Kireno na kuwatwanga mawakala wa kuwaangamiza waafrika na kizazi cha mtu mweusi.
Wakawasambaratisha mabwanyenye wa kiarabu kule kilwa na dola lao.

Hapa tunaona kuwa kumbe waliosaidia Wamisionari kuja angalau pakiwa pamepoa kidogo ni Majeshi ya Wareno yaliyowashinda nguvu Wakoloni wa Kiarabu .
Mungu hakuishia hapo aliwatuma Wamisionari kutangaza habari za ufalme wa Mungu kwa waafrika ili watoke gizani waingie katika ufalme wa Mungu kwa haki na kujitawala wenyewe na kuondoa utumwa na ukoloni.
Walisionari Walipokelewa kwenye maeneo mengi ya Tanganyika na kuleta mwanga wa Elimu . Watu wakaona nuru mpya kwa waafrika na kuwa na mwanga wa kupata Elimu iliyowafungua macho .
Waafrika bila kujali dini zao walipata Mwanga na kujua habari za uhuru na kujua kuwa kumbe wao pia ni binadamu kama walivyo waarabu na wazungu na wanaweza kutawala na kujitawala na kubadili maisha na mifumo yao bila kuwategemea waarabu.
Waarabu walishajiona wao ni binadamu wa daraja la juu na waafrika ni watumwa wao tu.
.
Kwa zaidi ya karne mbili yaani miaka 200 Waarabu waliokua wameshazaliana sana na watu wa ukanda wa Pwani hasa Lindi na Mtwara na pia kuzalisha wanawake wa kiafrika waliokua watumwa huku wanaume wakihasiwa na kuzwa ulaya na Amerika kama watumwa. Lakini pia waafrika waliokua wamepokea dini ya giza ya kiarabu walidanganya Waafrika kuwa wasijiunge na Wamisionari wala dini yao bali wapiganie dini yao kwa kupinga dini mpya ya wazungu. Waafrika kwa kutokua na elimu na bila kujua kuwa wanapigana na Watu walioletwa na mwenyezi Mungu kuwafungua macho ili kujua haki zao,maendeleo yao,utu wao,haki zao, uhuru wao ,uchumi wao ,uhuru wao wa kisiasa kama walivyo waarabu wakajikuta wanatumiwa na waarabu kuwakataa Wamisionari na hata kuwaua wakishirikiana na waarabu. Kwa karne mbili za utawala wa waarabu hapakuwahi kuwa na vuguvugu la kisiasa kwa waafrika kudai haki zao za kiuchumi ,siasa na kuwa jamii huru mpaka walipokuja Walisionari na kujenga mashule huku wakihubiri habari za ufalme wa Mungu na haki katika taifa na uhuru wa watu kujiunga na dini ya Kikristo. Uhuru wa kuabudu ulikua unapiganiwa kwa wakristo maana ndio waliokua wanatozwa kwa mara ya kwanza chini ya ukoloni wa waarabu ambao waislam walikua na uhuru wa kuabudu na kujengewa misikiti na matajiri na wafanyabiashara ya utumwa . Yaani Waarabu walikua wanawauza Waafrika na kupata pesa kisha kujenga misikiti na sio shule wala hospitali .
Utawala wa giza ukatamalaki sana ukanda wa Pwani ya Afrika mashariki kwa waafrika kuwekwa gizani.
Yesu alisema mwana(Yesu ) aliwaweka huru mtakua huru kweli kweli.
Hebu Tutafakari hata kwa akili ndogo tu ya kuweza kulenga kinyesi kwenye shimo la choo !!
Wakati wote huo wa utawala wa giza wa ukoloni wa waarabu na biashara ya utumwa na kuua tembo kwa maelfu na maelfu , Dini ya kiislam na mashehe wa kiislamu na sharia za kiislam zilikuwepo .
Waarabu wanaorudishwa leo na Dr.Salimia walikuwapo tena wengi sana.
Hapakuwa na utawala wa waafrika kuanzia ngazi ya chini kabisa kwani waafrika walikua ni watumwa na watu wa daraja la chini . Mwafrika alikua na haki moja tu ya kusilimishwa na kuwa Muislam basi . Mwafrika hakuweza kufanya biashara yenye pesa kama kuuza pembe za ndovu ,kuuza dhahabu, kuuza mihadarati, kusafirisha Watumwa au kuuza watumwa sokoni bali kuwauza huko vijijini kwa kuwa machifu wengi walikua ni waislam waliwakamata na kuwauza wale waliokua wamekataa kuslimu na walioonekana wanapinga mifumo ya waarabu biashara ya utumwa n.k

Tujiulize swali hili :-
Kwani nini wakati wote wa utawala wa Wakoloni waarabu hapakuwa na vuguvugu la kudai uhuru na kudai haki kutoka kwa watawala wa kiarabu ?

Jibu rahisi kabisa ni moja tu ufalme uliokuwepo ulikua ni ufalme wa giza.
Watu walikua gizani . Watu hawakuwahi kuwa na elimu ya kidunia kuhusiana na masuala ya kisiasa ,kijamii na kiuchumi .
Hapakuwahi kuwa na vyama vya kisiasa wala masuala ya uchaguzi wala kampeni za uchaguzi bali waafrika chini ya Dola la Kiarabu na dini yao na mila zao waafrika walijishusha sana na kujiona wao ni dini inawatosha na wanashukuru kwa kujengewa misikiti na kutumwa na mabosi wao wa kiarabu basi maisha yaende. Kwa upande wa Bara wale machifu wengi walikua wamesalimu amri kwa waarabu na wengine walikua wamepokea dini ya kiarabu na kupewa bunduki za magobore ya kujilinda ili wawauze watu kama kuku wa kienyeji .

Watu walidanganywa kuwa dini ndio mfumo wa maisha yao . Hapakuwa na mfumo rasmi wa kuhamasisha haki za waafrika na hawakuwepo waafrika wasomi wa kuanzisha na kusimamia vuguvugu la kudai uhuru wa kujitawala na kuikomboa nchi yao.

Nini kilifuata !!
Rehema za Mungu ziliendelea kwa waafrika hasa Watanganyika kwa Kuruhusu Wamisionari kuendelea kuja kwa wingi wakiwa na wawekezaji wa Kizungu au Mabepari wa kizungu walioona fursa za ardhi na biashara Tananyika huku wakianza kujenga miundombinu na kupata sapoti ya serikali ya uingereza ili kujenga mifumo ya kielimu ,kisiasa, kiuchumi na kiutawala. Biashara ya utumwa ikafa kifo cha mende maana Mabepari walioingia Tanganyika walikua wanahitaji watia wa kufanya kazi kwa angalau ujira mdogo na kulipa kodi , watu wakaanza kukimbilia kwenye makampuni ya wazungu kufanya kazi kwa hiari ili kupata kipato na kujitegemea kuliko kubwa watumwa wa waarabu waliowaalinisha wetu kubwa wao watakwenda peponi baadae hivyo hawahitaji kupata elimu nyingine ya kidunia wala kufanya maendeleo ya Kitaasisi .

Wakati wote huo kanisa lilikua linatoa Elimu ya Dini ya Kikristo kupitia shule zake na Elimu ya Sayansi ,elimu ya siasa na uongozi , elimu ya tiba na masuala ya uchumi n.k ili kumfanya Mwafrika kuwa katika viwango sawa katika ufahamu na jamii nyingine duniani.

Waislam wengi wakapata Elimu kwenye shule za kanisa chini ya Maaskofu wanaotukanwa leo na Machawa wa Serikali ya sasa . Elimu ikawafanya watu waanze kujitambua na kuanza kudai uhuru.
Waislam waliokua wameungana na waarabu walioishi Tanganyika kwa karne mbili walipopata Elimu na kujiona kuwa wanaweza kuingia ikulu na kutawala na kuendesha serikali kwa mifumo ya kodi na kijeshi iliyojengwa na Serikali ya wazungu na elimu iliyotolewa na wamisionari wa kanisa katoliki na mengineyo walianzisha vyama vya siasa kwa lengo moja tu la kuingia madarakani na kutawala kisha kuweka mifumo ya dini ya Kiarabu ,walikua wakipata misaada kutoka kwa wafanyabishara wenye asili ya Asia kama inavyojirudia leo. Machawa wa waarabu walisahau madhila waliyoyapata babu zao kwa miaka 200 bila kujitambua wala kupata elimu ya namna ya kuanzisha vyama vya siasa ,kufanya siasa ,kugombea ,kupiga kura ,kushika madaraka ,kuendesha dola ,kujenga mifumo ya kibenki ,kujenga miundo mbinu ya pamoja kama shule ,hospitali na mabenki , ofisi za umma ,mifumo ya mahakama ,magereza ,polisi ,jeshi n.k.

Nuru ya Elimu iliyoletwa na Kanisa Chini ya maskofu na wachungaji wanaotukanwa leo kwenye mitandao ndiyo chimbuko la kupigania haki ,uhuru na utu na usawa . Watu wenye elimu hawawezi kukubali kuuzwa kama mbuzi.
Watu wenye elimu hawakubali kutawaliwa na watu wasiojali maslahi ya wasomi .
Kanisa liliandaa wasomi waliopigania uhuru bila kujali dini maana hata wale walioanzisha vyama vya kidini wakati wa uhuru walipata elimu hiyo ya siasa kwenye shule za kanisa .
Hata wale walioanzisha shule za kislamu walipata elimu kwenye shule za kanisa na kuelimika kisha kwenda kuwafundisha wa dini zao zilizokua gizani kwa maelfu ya miaka .

Nyerere alikua anajificha kwenye majumba ya watawa wa kanisa katoliki wakati wa kupigania uhuru.
Dunia nzima kanisa limepigania haki mpaka tone la mwisho la damu na kuleta mabadiliko. Sehemu yoyote isiyo na maaskofu wenye sauti ya kuwasemea wanyonge kamwe haiko huru maana dini nyingine hazihubiri habari za ufalme wa Mungu bali sharia za wanadamu kwa kuua na kuchinja wasiozifuata .

Ni kanisa pekee linaloweza kuwapigania wanaoonewa bila kuogopa kuuawa maana kanisa linaamini kuwa waasisi wa kanisa walijenga misingi hiyo kwa kupigania haki mpaka wanauawa japo hawakuwa na silaha .

Kuhubiri habari za haki ni jukumu la kwanza kila Mkristo .
Maaskofu hakuna mahali wanapopigania maslahi ya wakristo bali haki inayozingatia sheria na katiba ya nchi.
Kosa lao ni nini?
Kanisa haliwezi kamwe kumwakilisha Mungu kwa kusimama na wanaoonea na kutesa wengine .
Ni ushetani mkubwa kwa kusimama na Waziri muovu ambaye ni bilionea aliyeshindwa kuwajibika badala ya kusimama wanyonge wasio hata na pesa ya kula mlo mmoja au kulipia matibabu .
Watu wanaua watu kwa sababu tu ya kutaka Mama bilionea ili ashinde kwa 99% .Kanisa halipo duniani kwa ajili ya kuwapigania walioshiba bali wenye njaa .Kanisa halipo kwa ajili ya kuwatibu wetu wenye afya bali wagonjwa .
Kanisa ndiyo taasisi pekee inayofanywa kazi ya kimungu duniani kote .

Ukilinyamazisha kanisa umeondoa ufalme wa Mungu duniani na amani inatoweka maana thamani ya mwanadamu inalindwa na kanisa chini ya maskofu na wachungaji.

Kamwe Milango ya Kuzimu haitalishinda Kanisa.

Rwanda waliwapuuza maaskofu nchi ikaingia kwenye vita . Uganda wakati wa Idi Amini wanawapuuza maaskofu nchi ikaingia kwenye vita ,Kongo pia , Afrika kusini na kila mahali kanisa lilitanguliwa kuonya serikali zao juu ya utawala mbovu na utawala mbaya wa kutofuata sheria .

Katiba mpya ni sasa .
Mungu simama na wanaoonewa wenye kiburi na wauaji waaibike milele.
 
Kwenye kuwaomba wahubiri amani makanisani mnawatumia na mnawaona wanaumuhimu sana ila kwenye kuusema uovu wenu na ukatili wenu mnawaona wana waingilia, acheni ubinafsi
Mwambie hata wewe! Kukemewa hawataki ila wanataka ila wanataka wahubiri amani ili wawakandamize vizuri!washindwe na walegee
 
1. Nabii Yusufu alipelekwa gerezani na mkuu wa magereza pale Misri.
2. Nabii Musa alishindana na wana siasa hadi baadae alishinda, alisababisha jeshi lote la Misri kuteketea kwenye bahari ya Sham.
3. Nabii Isaya aliuawa na wana siasa wa Kiyahudi wa enzi hizo.
4. Nabii Yeremia aligombana sana na wana siasa wa enzi hizo, alitoa tahadhari zote kwamba mji unakwenda kutekwa na kubomolewa, vijana wao watakwenda matekani, mfalme atatobolewa macho; wana siasa wale hawakuelewa lakini yalitimia. Jerusalem ilitekwa na mfalme wa Babeli wa wakati huo.
5. Manabii kama Daniel, Ezekiel walionya sana wana siasa wa Babeli, thank God baadhi walio waamini manabii wale nchi yao ilikua salama

Nimetolea mifano ya manabii ambao waislamu pia wanawakubali; well tofauti ya maaskofu na hao manabii wa zamani ni nini?
 
Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
La Mama kubwa sana
 
Labda nyie magaidi mkaanzisha chama maana Mudi alikuwa mwanasiasa na gaidi wa Kwanza
 
Back
Top Bottom