Maaskofu TEC msipoteze muda kuwajibu mashekhe ubwabwa waliotumwa bali sisi waislam wenzao tuwajibu

Msemajiwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
758
Reaction score
1,819
Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio!

Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini!

Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU.

Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia!

Ni kipofu peke yake anaeweza kusema hakuona damu za binadam wenzetu zilizomwagwa;

Na mambo yanayoweza kumpofusha mtu asione hayo yote ni njaa na vijibahasha!

Sisi waislam wapenda haki hatuungi mkono ujinga wa kioongozi yoyote anaetetea uchafu kwa dini ya kiislam!

Tunaomba ndugu zetu wakristo hawa mashekhe ubwabwa Msipoteze muda kuwajibu!

Sisi waislam wapenda haki tutawajibu hili tuachieni sisi!

Na vyombo vya habari vinavyoitwa kueneza uongo huo na kuacha kusema Haki vitambue vinakiuka mafundisho ya mtume wetu Mohammad.

A.A.W
 
Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio!

Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini!

Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU.
Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia!

Ni kipofu peke yake anaeweza kusema hakuona damu za binadam wenzetu zilizomwagwa;

na mambo yanayoweza kumpofusha mtu asione hayo yote ni njaa na vijibahasha!

Asante 🙏

Hili swala la udini limeisha.

Tuendelee kujadil mengine
 
Back
Top Bottom