#COVID19 Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!

#COVID19 Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!

Hongera kwa kuangalia Taarifa ya Habari mkuu..!

Jitahidi tu uwe unatupa habari husika kwa undani sio muhtasari
 
Hata ITV watakuona mjinga kuwanukuu! Ulisikia sauti ya Askofu kutamka hayo uliyoandika hapa? Usiwe mwepesi wa kukimbizia hapa habari za propaganda!
 
Leta ulichosikia acha mipasho!
Sio mipasho. Wewe jamaa hivi huna hata mshipa wa aibu? Hivi ni lazima uanzishe uzi kama huna cha kuandika? Nadhani JF ina haja ya kukupiga life ban.
Ni hovyo kabisa huyu binadamu! Anabeba kila kitu bila kuchambua! Hakuna Askofu aliyezungumza kilichoripotiwa. KKKT sio wajinga!
 
Back
Top Bottom