#COVID19 Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!

#COVID19 Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!

Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hata mimi nimewasikia askofu wa Chato akisema hayo,[emoji870] tenaaa
 
Ni hovyo kabisa huyu binadamu! Anabeba kila kitu bila kuchambua! Hakuna Askofu aliyezungumza kilichoripotiwa. KKKT sio wajinga!
Hili jamaa bonge la kilaza ila halina mshipa wa aibu that's why 24/7 lipo jukwaani kuandika ujinga ujinga tu.
 
Mbinu gani labda. Ya kupima papai na kusema test kits ni mbovu hivyo Corona haipo?
 
Hata ITV watakuona mjinga kuwanukuu! Ulisikia sauti ya Askofu kutamka hayo uliyoandika hapa? Usiwe mwepesi wa kukimbizia hapa habari za propaganda!
Tabia ya mama Pekupeku ni kutolala na jambo!
 
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Waiige nchi inayotafunwa na nimonia kwa kasi ya kutisha
 
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA.

Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kwamba siku chache zilizopita, Dkt. Peter na Profesa Delphina walitoka Kilimanjaro kuwazika wazazi wawili (Mchungaji Kessy na mkewe) wa Profesa Delphina ambao nao vifo vyao vilifuatana.

Inadaiwa baada ya kurudi Morogoro hali ikuwa mbaya mpaka umauti unawakuta.

Mwenyezi Mungu aipe nguvu na faraja familia hii inayopitia majaribu haya yote.
 
Back
Top Bottom