johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe huzijui?!Ingependeza kama ungeziweka hapa mbinu walizoshauriwa,badala ya kutujia na habari nusu nusu,ama hilo nalo pambio.
Kama maaskofu wanaamini mimi ni nani hata niwapinge?!Na wewe unaiamini hiyo mbinu?
SifahamuWewe huzijui?!
Basi wewe ni mpagani!Sifahamu
Nawewe mwenzanguBasi wewe ni mpagani!
Mimi ni mluteli bwashee!Nawewe mwenzangu
Wewe unaiamini mbinu gani?Na wewe unaiamini hiyo mbinu?
Leta ulichosikia acha mipasho!Hata ITV watakuona mjinga kuwanukuu! Ulisikia sauti ya Askofu kutamka hayo uliyoandika hapa? Usiwe mwepesi wa kukimbizia hapa habari za propaganda!
Sio mipasho. Wewe jamaa hivi huna hata mshipa wa aibu? Hivi ni lazima uanzishe uzi kama huna cha kuandika? Nadhani JF ina haja ya kukupiga life ban.Leta ulichosikia acha mipasho!
Leta ulichosikia acha mipasho!
Ni hovyo kabisa huyu binadamu! Anabeba kila kitu bila kuchambua! Hakuna Askofu aliyezungumza kilichoripotiwa. KKKT sio wajinga!Sio mipasho. Wewe jamaa hivi huna hata mshipa wa aibu? Hivi ni lazima uanzishe uzi kama huna cha kuandika? Nadhani JF ina haja ya kukupiga life ban.
Karibu tumpokee Rais wa Ethiopia meku!Ni hovyo kabisa huyu binadamu! Anabeba kila kitu bila kuchambua! Hakuna Askofu aliyezungumza kilichoripotiwa. KKKT sio wajinga!
Mbinu gani?