tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Hata mimi nimewasikia askofu wa Chato akisema hayo,[emoji870] tenaaaMaaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hili jamaa bonge la kilaza ila halina mshipa wa aibu that's why 24/7 lipo jukwaani kuandika ujinga ujinga tu.Ni hovyo kabisa huyu binadamu! Anabeba kila kitu bila kuchambua! Hakuna Askofu aliyezungumza kilichoripotiwa. KKKT sio wajinga!
Hahahaaaa..... Wewe huna uwezo wa kushinda Jf wanao hawatakunya Bando!Hili jamaa bonge la kilaza ila halina mshipa wa aibu that's why 24/7 lipo jukwaani kuandika ujinga ujinga tu.
NYUNGUIngependeza kama ungeziweka hapa mbinu walizoshauriwa,badala ya kutujia na habari nusu nusu,ama hilo nalo pambio.
Ripota wetu huyo.Ana ubora wake.Hongera kwa kuangalia Taarifa ya Habari mkuu..!
Jitahidi tu uwe unatupa habari husika kwa undani sio muhtasari
Tabia ya mama Pekupeku ni kutolala na jambo!Hata ITV watakuona mjinga kuwanukuu! Ulisikia sauti ya Askofu kutamka hayo uliyoandika hapa? Usiwe mwepesi wa kukimbizia hapa habari za propaganda!
Kukaa kimya na kila mtu apambane na hali yakeMbinu gani?
Waiige nchi inayotafunwa na nimonia kwa kasi ya kutishaMaaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA.Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kutofanya chochote nayo ni mbinu?Kama maaskofu wanaamini mimi ni nani hata niwapinge?!