Maaskofu Wakatoliki Zambia: Hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo

Maaskofu Wakatoliki Zambia: Hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo

Uganda tu ndo wako kimya

Sio wapo kimya ‼️

Ukimya wao ni vile kiongozi yani Mu7 ni Mkatoliki mwenzao apo wanafumba
DOMO kikamilifu 🤠
utosikia HAKI ya binadamu HAKI mpinzani yoyote akiwemo Ndugu Kizza Basigye👈


Twende Congo
Pale Congo zamani ni Zaire chini ya Rais Mobutu Seseseko
Uyo mwamba kinyozi wake alikuwa anatoka
Paris Ufaransa 🫎👈

Mabutu katumia mipesa vile yeye anataka sio Sheria inataka❗️

Mshangao Kanisa Kotoliki walikuwa kimyaa sababu ni Mkatoliki mwenzao ukiona Kanisa katoliki linapiga kelele Shtuka bro fahamu fika
kuna mrija wao umekatwa🫎🫎

Ndiomana leo Congo hawataki kusikia mgombea yoyote kutokea Kanisa Kotoliki

Hapewi nchi mfano yule Martin Fayulu ni Mkatoliki 👈

Joseph Kabila na mwenzie wakamtupitia virago
mbali uko 🫎🫎🫎

Kwasasa Africa tunapaswa kuelewa
Tatizo la Umasikini wetu chanzo kikuu ni mataifa mengi yalipopata uhuru yakakabidhiwa kimya kimya chini ya Viongozi kutokea Kanisa Kotoliki

Tukanasa kwenye mkwamo mwengine M'baya zaidi wa wezi Wanyonyaji wabaya
zaidi👈

kupita Wazungu wenyewe👈

Wakatoliki wanatumia Dini kama nyenzo tu 👈

lkn wapo Kibiashara kupiga Deals yoyote nk.✍️
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) limeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 13, 2026, likisema hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo.

Katika taarifa yao ya kichungaji yenye kichwa “Peace sown by peacemakers brings a harvest of justice”, maaskofu hao wamesema hawazungumzi kwa maslahi ya chama chochote cha siasa au mgombea, bali wanatetea Katiba, utawala wa sheria na haki ya kila Mzambia kuhakikisha kura yake inahesabiwa na kuheshimiwa.

Soma: Uchaguzi Zambia 2026: Matokeo kutoka majimbo 135 kati ya 226, Hichilema aendelea kuongoza

Maaskofu hao pia wameeleza masikitiko yao kuhusu uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ya Zambia (ECZ) wa kusimamisha uhesabuji na kutangazwa kwa baadhi ya matokeo ya uchaguzi mnamo Agosti 14, 2026, kufuatia taarifa za vurugu dhidi ya maafisa wa uchaguzi na madai ya wizi wa nyaraka za uchaguzi.

Taarifa hiyo inasisitiza umuhimu wa kulinda amani, haki na uwazi katika mchakato wa uchaguzi, huku ikitaka mamlaka husika kuhakikisha kila kura ya wananchi inahesabiwa kwa usahihi na matokeo ya uchaguzi yanaaminika.

Kama kawaida yao mayuda hawa wao ni kuharibu tu kila sehemu
 
Back
Top Bottom