Maaskofu wameitendea haki Katiba mpya - Warioba


Nadhani viongozi wetu wa kiroho wamejisau kuwa wao sio sehemu ya wanasiasa,ndio maana kanisa lilitenganisha siasa na dini,Sasa nashangaa hawa maaskofu wetu wanapogeuka mawakala wa siasa, sisi waumini tumeshtushwa sanaa na mwenendo wa viongozi wetu.ndio maana hata Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania Kardinali Pengo Katika mahubiri yake wakati wa kufungua mafungo ya Wanawake Wakatoliki Tanzania, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. alisema “………hatuwezi kufikia hatua ya kusema nenda kapige kura ya hapana, hakuna mtu aliye na uwezo wa kumwambia mwingine akapige kura ya hapana, hakuna mwadadamu aliye na uwezo huo. Kama mungu mwenyewe hafanyi hivyo, mwanadamu anayapata wapi madaraka hayo…”

sasa nyie Maaskofu mmepata wapi ujasiri wa kuanza kufanya uwakala wa shughuli za siasa ndani ya Kanisa Takatifu la Mungu,Kwani huo ndio wito mlioitiwa?
 


Ni jukumu letu waumini kuchuja hoja hii ya maaskofu,kwa kuwa sisi waumini ndio tuliowaweka,kimsingi waumini sehemu nyingi wamwshtushwa na mwenendo wa viongozi wetu wa kiroho hasa wanapoanza kuingiza siasa ndani ya nyumba za ibada.
 

Blah Blah Blah Blah...upuuuuzi mtupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…