Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Pole kwa kutokujitambua.Kwa Neema ya Mungu iko siku utafunuliwa
 
aliamua kuwa na walinzi waliokuwa ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) ili kuimarisha ulinzi wake baada ya kushambuliwa na kuvunjwa mguu
Dah! chama hiki CCM kinawapa mateso hata walinzi waliotumikia JWTZ kwa weledi kisha wakastaafu na kuamua kutumia ujuzi na weledi kumlinda Mwenyekiti mtanzania mwenzao wa chama cha siasa kilichosajiliwa rasmi yaani CHADEMA. Chama cha CHADEMA kilichoomba ridhaa ya kutaka kuongoza Tanzania ngazi ya Urais, wabunge na kuunda serikali kupitia uchaguzi ambao ulitakiwa kuwa wa haki na huru, lakini Leo walinzi hawa Wazalendo watanzania wanaonekana ni 'wahaini'.

Inasikitisha sana.
 
Ninachojua tu ni kwamba ukijitolea Kuwapambania Watu lazima nawe ujue na ujiweke tayari kwa lolote ( hasa Kufa au Kufariki ) kama ambavyo hata Yesu Kristo wa Nazareth alitupambania mno Sisi Watenda dhambi 'zilizotukuka' akina GENTAMYCINE huku akijua kuna kuna madhara yake makubwa likiwemo la Kukamatwa, Kuteswa, Kupigwa na mpaka Kuuwawa ( Kuuliwa )
 
Madini
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.
Ujumbe kwa makaburu wa TZ
Tumeonewa kiasi cha kutosha, tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha na tumepuuzwa kiasi cha kutosha… Ni unyonge wetu ndio uliotufanya tuonewe, tunyonywe, tunyanyaswe na tupuuzwe. Sasa tunataka mapinduzi ili tusionewe, tusinyanyaswe na tusipuuzwe tena!”
 
Wabarikiwe sana Maaskofu watumishi wa kweli wa Mungu Yehova
 
Sirro alivyokuwa anaropoka juzi ulimjulisha , hivi unajua baada ya mwendazake kutwaliwa Sirro alikuwa miongoni mwa waanzalishi wa Sukuma gang , unayafahamu malengo ya kundi hili ?
 
Sirro alivyokuwa anaropoka juzi ulimjulisha , hivi unajua baada ya mwendazake kutwaliwa Sirro alikuwa miongoni mwa waanzalishi wa Sukuma gang , unayafahamu malengo ya kundi hili ?
Hebu kwanza.

Hivi SIRRO anaweza kufanya yote haya kwa utashi wake pekee. Inawezekana?
Sirro anatekeleza maagizo anayopewa, na hakuna "Sukuma Gang" la aina yoyote lenye uwezo wa kutoa maagizo kama hayo anayoyatekeleza.

Siku zote kumbuka, usipoteze lengo kwa 'sideshow' za pembeni zisizokuwa na maana yoyote.
 
Hivi polisi na aliyewatuma kuwakamata na kuwaweka viongozi wa CHADEMA mahabusu, lengo lao hasa lilikuwa ni nini?

Kuwatia uoga na hofu?

Hatua hii ndiyo itakuwa imeondoa tatizo lililosababisha haya yote, au ndio mwanzo wa watu sasa kujizatiti ili kudai haki zao bila ya uoga?

Ukiwaondoa viongozi wa CHADEMA, umewaondoa wanachama wao na hawawezi tena kujipanga na kuwapata viongozi wengine watakaochukuwa nafasi za hao waliowekwa mahabusu?

Huko mhabusu watawekwa watu wangapi ndipo ijulikane kwamba tatizo limekoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…