Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Hawa maaskofu mbona wanatoa hitimisho la kipuuzi namna hii?

Kesi ya Mbowe imeshafikishwa mahakamani, sasa wanawashwa na nini tena kuanza kusema eti inachafua taswira ya nchi!??

Kwani kuna ambae yupo juu ya sheria, au kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa inakupa kinga ya kutokushitakiwa kwa jambo lolote lihusulo uvunjaji wa sheria?

Pia, tunapohubiri kuheshimu misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu,,, sasa kwann kwa Sabaya iwe ni sawa kwamba Serikali inatenda na kufuata utawala bora ila kwa Mbowe imekuwa sio tena kutenda haki bali uonevu? Double standard

Mbowe huyu huyu alikataza watu wasije msiba wa Kaka yake kisa kuepusha maambukizi kwa Jamii yake, ila baada ya mazishi akakimbilia Mwanza kufanya mkusanyiko bila kujali kuwa huko kutapelekea kueneza maambukizi. Kwahyo akaona Jamii ya wana Mwanza wacha wafe tu ilimradi mrengo wake kisiasa utimie. Ila nyie Maaskofu uchwara mkakaa kimya

Kwa double standard hizi, ni wazi nyie maaskofu uchwara mnatumikia upande mmoja na sio kutumikia wananchi wote

Watanzania wenzangu tuweni makini na hawa kina kibweteres' type waliopo Tanzania.
Mbona wewe umewashwa na muwasho wa kubambikiza kesi.
 
Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Kama una mashaka na Askofu fulani, bora umtaje jina. Mfano labda Askofu Gwajima, kwamba amepataje uaskofu. Na ikiwa unaamini kwamba Askofu Mwamakula "amejipa" uaskofu, jenga hoja tukuelewe. Kusema kijumla jumla tu kwanza hutendi haki
 
Hawa maaskofu mbona wanatoa hitimisho la kipuuzi namna hii?

Kesi ya Mbowe imeshafikishwa mahakamani, sasa wanawashwa na nini tena kuanza kusema eti inachafua taswira ya nchi!??

Kwani kuna ambae yupo juu ya sheria, au kuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa inakupa kinga ya kutokushitakiwa kwa jambo lolote lihusulo uvunjaji wa sheria?

Pia, tunapohubiri kuheshimu misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu,,, sasa kwann kwa Sabaya iwe ni sawa kwamba Serikali inatenda na kufuata utawala bora ila kwa Mbowe imekuwa sio tena kutenda haki bali uonevu? Double standard

Mbowe huyu huyu alikataza watu wasije msiba wa Kaka yake kisa kuepusha maambukizi kwa Jamii yake, ila baada ya mazishi akakimbilia Mwanza kufanya mkusanyiko bila kujali kuwa huko kutapelekea kueneza maambukizi. Kwahyo akaona Jamii ya wana Mwanza wacha wafe tu ilimradi mrengo wake kisiasa utimie. Ila nyie Maaskofu uchwara mkakaa kimya

Kwa double standard hizi, ni wazi nyie maaskofu uchwara mnatumikia upande mmoja na sio kutumikia wananchi wote

Watanzania wenzangu tuweni makini na hawa kina kibweteres' type waliopo Tanzania.
Suala ka Mbowe linapigiwa kelele kila kona kwa sababu sheria nyingi zimevunjwa katika kumkamata. Uko sahihi, hakuna aliye juu ya sheria, kwa hiyo hata Polisi hawako juu ya sheria.
Unamlinganisha Mbowe na jambazi na muuaji Sabaya? Huyu amelalamikiwa na wengi, na aliyokuwa anafanya yalikuwa wazi kabisa. Ndio maana hata mashahidi ni wengi.
Mbowe ameshabambikizwa kesi kibao, na hakuna ambayo ametiwa hatiani. Hata hii kesi inanukia ubambikizwaji. Kama kesi ni ya tangu mwaka jana, inakuwaje akamatwe saa 8 usiku?
Hii ni dharau kwa intelligence yetu.
Hawa viongozi wako sahihi, na wana haki ya kutoa mawazo yao
 
haya mambo ya serikali na dini utayasikia kwa dini zingine lakini wasabato hawatakagi kabisa hizi mbanga.
Wasabato wanatumia Biblia. Biblia inasema, kama ukiona mtu anatenda uovu, halafu usimkanye, basi Mungu atakuhukumu pia ( Ezekieli 33:7- 9) Kwa hiyo, kama Wasabato hawakemei maovu katika jammii, hawako sahihi. Wanakosea sana
 
Ndugu yangu'just play the ball not a person' nafikiri kutafakari ujumbe ndo muhimu zaidi kuliko hayo yako mengine ulionayo.......
Kazi sana. Kuna wakati najiuliza kwanini tuko hapa tulipo. Kumbe jibu liko wazi. Hivi mtu asiye na sifa ya kujiongoza hata yeye mwenyewe ataongozaje watu? Nisamehe bure....
 
Umwishia darasa la ngapi? Rudia tena kusoma.
Najisomea hapa nilipo. Ila hakuna hata siku moja mtu asiyeweza kujiongoza akaongoza watu. Hata ajipe cheo gani. Mwenyezi Mungu sio mnafiki kama sisi wanadamu. Mnisamehe bure
 
Una uhakika hao ni maaskofu? Au Maaskofu wa Chadema, hivyo ni vitu viwili tofauti
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.
Nusu mlingoti unamaanisha tutampoteza raisi... aiseee, Haya.
 
Back
Top Bottom