Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Ndugu yangu'just play the ball not a person' nafikiri kutafakari ujumbe ndo muhimu zaidi kuliko hayo yako mengine ulionayo.......
 
Kwa mwendo huu, na kura zitaibwa, hizi ndio dalili zake! Kwa kuwa anatengeneza zisitoshe!
 
Umeamua kumwongezea mashita ya corona siyo? Hivi umeisoma hati ya mashitaka ama umataga unakuongoza?
Mbowe huyu huyu alikataza watu wasije msiba wa Kaka yake kisa kuepusha maambukizi kwa Jamii yake, ila baada ya mazishi akakimbilia Mwanza kufanya mkusanyiko bila kujali kuwa huko kutapelekea kueneza maambukizi. Kwahyo akaona Jamii ya wana Mwanza wacha wafe tu ilimradi mrengo wake kisiasa utimie.
Ila nyie Maaskofu uchwara mkakaa kimya
 
Hebu kwanza.

Hivi SIRRO anaweza kufanya yote haya kwa utashi wake pekee. Inawezekana?...
Ni hivi , baada ya mwendazake kutwaliwa ukiacha Mabeyo hawa na wengine walikuwa kwenye lile kundi la "BOT" kumbuka walishinikiza bibi choko choko asichukue mikoba ili wafuate usia wa mwendaji.

Mwendaji alikuwa na jina la mfukoni ikiwa kama ataondoka , kinyume cha katiba ya nchi , sasa baada Vasco Da Gama kuingilia kati ndio hawa wakarudi kundi la bi chokochoko , sijui kama unanielewa , huu ndio msingi wa hoja yangu
 
Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili...
Mlienda kuona wafungwa au CHADEMA? 🤔
 
Ni hivi , baada ya mwendazake kutwaliwa ukiacha Mabeyo hawa na wengine walikuwa kwenye lile kundi la "BOT" kumbuka walishinikiza bibi choko choko asichukue mikoba ili wafuate usia wa mwendaji , mwendaji alikuwa na jina la mfukoni ikiwa kama ataondoka , kinyume cha katiba ya nchi , sasa baada Vasco Da Gama kuingilia kati ndio hawa wakarudi kundi la bi chokochoko , sijui kama unanielewa , huu ndio msingi wa hoja yangu
Bado.
Vasco hana uwezo huo, na wala hakuna kundi lenye nguvu kumswaga 'Maza Miyeyusho'(Mizinguo). Hii ni kazi yake na abebeshwe gunia analostahili kulibeba.

Sijui atalitua vipi gunia hili safari hii!
 
Kumbuka kwamba Sirro alipewa U IGP na Makonda ila aliapishwa na Jiwe
Najuwa.

Lakini bado. Hoja yako haijakamilika.

SIRRO hana uwezo wa kufanya yanayofanywa na polisi bila ya ruhusa ya 'Maza Mizinguo'. Hiyo haiwezekani.
 
La Mbowe walinzi wake watu aliajiri Askari wa JWTZ hii kali ya mwaka

Kuna kesi nzito hapo
 
Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili...
Muono wetu kama viongozi wa dini kuhusu ziara hiyo ni kama ifuatavyo: Kitendo cha kuwakamata na kuwaweka ndani viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sababu zilizoelezwa kinalipaka matope Jeshi la Polisi na kinazidi kuinajisi Katiba ya Nchi. Kesi ya Freeman Mbowe inalichafua Taifa letu machoni duniani.

Tunafahamu pia kuwa kuna viongozi na wafuasi wengine wa CHADEMA waliokamatwa mikoani kwa sababu za kudai Katiba Mpya. Kudai Katiba Mpya sio jinai.[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1548]
 
Mbowe anasema anaumwa gerezani, ananyimwa matibabu, madhila matupu jela

Maaskofu wake wanasema Mbowe yuko imara, njema kabisa wa afya na hana shida na askari magereza yeyote

Upinzani wetu shaghala baghala
 
Dogo Ponda yuko wapi?kamtosa Mbowe
Sirro alivyokuwa anaropoka juzi ulimjulisha , hivi unajua baada ya mwendazake kutwaliwa Sirro alikuwa miongoni mwa waanzalishi wa Sukuma gang , unayafahamu malengo ya kundi hili ?
 
Back
Top Bottom