Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Hivi Mwamakula ni Askofu wa Chadema au ni Askofu wa nini? Maana siku hizi mtu akijisikia kuanzisha kijikanisa tu anajiita Askofu
HALAFU ANAJIFANYA ETI VIONGOZI WA DINI WAMEENDA KUTEMBELEA MAHABUSU SI ANGERSEMA TU AMEENDA KUTEMBELEA WANASIASA WENZIE
 
Kama kuna harufu kali ya UDINI! why maombi ya kumuombea Mbowe yakafanyike makanisani tu?
Why maaskofu ndo wapo kimbele mbele kwenye issue ya Mbowe?
 
HAO SIYO VIONGOZI WA DINI NI WANASIASA 100% TENA WAMEKULA HELA ZA MABEBERU ANAHAHA KUZITAPIKA MWAMAKULA TANGU LINI AKAWA ASKOFU NIMWANA SIASA TU TENA WA CHADEMA
 
Wewe Mbwa usimlinganishe nyang'au sabaya na wastaarabu waliokamatwa na popi wenzio. Kama unaweza nawe nenda kisongo ukamtetee sabaya kama hujashughulikiwa na raia bila kungoja mbwa wa polisi!
 
Kama mfumo wa Mahakama upo kama unavyousema wewe basi ikitokea mwanachadema yoyote amekamatwa tuandamane kwenda kumkomboa polisi asipelekwe mahakamani
Wewe huenda una uwendawazimu. Waache wenye akili timamu wajadili hoja.

Bahati mbaya nchi haina mahakama bali kuna kitengo cha Serikali dhalimu kilichopewa kazi ya mahakama ambacho hufanya kazi kwa maelekezo ya serikali dhalimu.
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.
Nyinyi tuliwaambia msimfananishe magufuli na mambo ya kipumbavu sasa mama hafanyi chochote cha kuiletea maendeleo nchi ila anafanya zaidi mambo yasiyo na maana tofauti na magufuli alikuwa mchapa kazi licha ya kuwa mgonjwa
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.

Keyboard warriors at your best. Usitegemee watanzania ku-react hata siku moja. Tutakuweka hashtag twitani ukiwa unalala na kula bure chibi ya ulinzi ila mtaani hatutoki.
 
Keyboard warriors at your best. Usitegemee watanzania ku-react hata siku moja. Tutakuweka hashtag twitani ukiwa unalala na kula bure chibi ya ulinzi ila mtaani hatutoki.
Hujui Social Media ndiyo inaongoza Dunia Sasa hivi
 
Mabeyo ni kiongozi wa dini. Ni mzee wa kanisa tangu parokia ya Segerea.

Nenda pale Saint Joseph uoate kitabu chake kinaitwa Saint Joseph.

 
Aksate viongozi wa dini. Mungu azidi kuwaangazia mema. Wahimizeni na viongozi wengine wa kiroho wafanye vile.
 
Hujui Social Media ndiyo inaongoza Dunia Sasa hivi

Yale maandamano ya mwaka juzi yaliyochagizwa sana mitandanaoni na dada yaenu Mange yaliishia wapi? Nani alitoka?

Mitaani watu hawana habari, washasahau habari za tozo na hawana habari kabisa na mambo ya katiba. Hamna cha kuwafanya watanganyika watoke. Utatoka peke yako sisi tutakupost tu.
 
Hivi kwani maisha mpaka ufanye siasa ,siasa ikigoma unaweza hata lwenda kulima maparachichi kule njombe na maisha yakaenda kama mtaji alishapata
 
Tangawizi kasome vizuri Biblia yako. Uaskofu sio cheo cha wito. Ni cheo unachoamua kuwa nacho ukiamua! Hata wewe unaweza kuwa Askofu ukipenda!
 
Simon Wasabato waoga. Wengi wao wanamzungumzia Mungu mwilini si rohoni ndio maana hawana ujasiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…