Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

Maaskofu wamuasa Rais Samia Suluhu kuhusu haki na ustawi

Acha uongo wako!!! Mbona walikuwa wanasema!!! Ulikuwa umetia pamba masikioni? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]


Maaskofu Katoliki watoa waraka mzito
Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa waraka wa Kwaresima 2020 ambao mbali na masuala ya uinjilishaji, umezungumzia utawala wa kisiasa, wakisema unatakiwa ufanyike ndani ya mipaka ya sheria ya kimaadili.

Waraka huo wenye kichwa cha habari “Ujumbe wa Kwaresima 2020: Ufalme Wako Ufike”, umetolewa na maaskofu wote 33 wa majimbo ya kanisa hilo nchini Tanzania, wakiongozwa na Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga, rais wa TEC.

Tofauti na miaka mingine, waraka mpya umetumia mada za Kibiblia, za kijumla, ukigusia masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya nchi bila ya kunyoosha kidole.

Alipoulizwa kuhusu waraka huo ambao umechapishwa kwa ukamilifu na tovuti ya Redio Vatican, katibu mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima alisema ni kweli umetolewa na baraza hilo na umeshasambazwa katika parokia za kanisa hilo nchini.
Uchochezi uchochezi. Huu ni waraka wa nwaka jana February 2020. Eti waraka wa Kwaresma 2020, mbona ilishapita?
 
Maaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.
Kwa hiyo unaona ushauri wa viongozi hawa wa dini Ni mbaya?
Hata Kama wana mademu je ushauri wao sio muhimu kwa mustakabali waTaifa?
Sasa nakuambia endeleeni kushupaza shingo zenu na ukaidi wa kishamba, nakuambia mtaendelea kufa Kama kuku wenye kideri,mmemtia kiburi huyo my wenu Sasa hawezi tena hata kufungua mdomo.
Shindaneni na Mungu tu,mtajua kuwa Yeye Ndiye.
 
Lugha uliyotumia wala si ya kistaarabu. Kwani baya gani waliloongea hadi utukane? Hivi kwanini hampendi kusikia neno haki likitamkwa? Binadamu tuna shida kubwa sana.
We waache tu,wamemponza mtu wao Sasa anaburuzwa tu kwenye box.

Mungu hadhihakiwi.

Watu wanawapa maarifa kuongoza kwa haki vijtu vinakataa haki isitendeke.

Hicho kinachotoa kauli hizi hakuna hata anekijua,lakini Magufuli alijulikana dunia nzima,lakini Sasa Yuko wapi?
Sina Chuki na aliyekua Rais wetu Hayati Magufuli lakini Sasa Yuko wapi?

Halafu kijitu amabcho hata Jina lake kinaficha kinakuja kutukana Maaskofu au Mashehe wenye ushauri wa haki.
Hovyo kabisa.
 
Maaskofu wasije kuwa wameeanza matamko yao kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislamu, mbona wakati wa utawala wa Hayati Magufuli hawakuwa wakimshauri masuala ya kufuata haki na utii wa sheria na katiba.
Wewe mbuzi inamaana ulikua huoni ushauri wa akina Bagoza?mwamakula? Na Askofu shayo?
Mnafiq wewe.
 
Dua/maombi na ya endeleee sis ndio wa kumtilia nia njema hakika mwenye Kumuweka M/MUNGU mbele ni mshindi.
 
Jamaa inaonekana una hasirà sana na maaskofu ila ukisoma vzuri ni kwamba wameshauri hawajacommand
We know them well.wengne tunagombania nao mademu huku mitaan...waaskutishe ..maaskofu wa zamani si wa kizaz hiki...sie wengne tumesoma seminari.tunawajua vzur tu hao
 
Huyo mungu ulimjuaje km hukuhubiriwa kwanza ndipo ukamjua mungu, ubahili wako wa kutotoa sadaka ndo unawahukumu maaskaofu km unawatukana wenzio ni mungu yupo unayemuomba anayeruhusu matusi?
I neva argue na akili ndogo hata sku1 ukinifuatilia...huwa nawa ignore watu kama ninyi snaa.sabab naamin tutabishana had asubuh hapa..sababu hujui chochote..u r among majority..ambao always mko wrong...end of story
 
Kwa hiyo unaona ushauri wa viongozi hawa wa dini Ni mbaya?
Hata Kama wana mademu je ushauri wao sio muhimu kwa mustakabali waTaifa?
Sasa nakuambia endeleeni kushupaza shingo zenu na ukaidi wa kishamba, nakuambia mtaendelea kufa Kama kuku wenye kideri,mmemtia kiburi huyo my wenu Sasa hawezi tena hata kufungua mdomo.
Shindaneni na Mungu tu,mtajua kuwa Yeye Ndiye.
Watashaur nin.....huwa sibishan na akili ndogo......kama hyo korona kwel bas tungekua tunakufa na huku mitaan..wafe watu wa ikulu tuu...Mi Tz haina akili na ndomana wajanja wanatumia mwanya huo ku exploit upumbav wenu.
 
Haki uinua taifa.Usimwage damu ya mtu usimwage machozi ya mtu.
 
Maaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.
Hao ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu angalia laana ya Mungu isiwe juu yako,mwenzio alionywa Sana akusikia akamtuma musiba awatukane leo hayupo.Dawa ya kiburi kaburi.
 
Hebu tujiulize hao maaskofu, walikuwa wakitoa ushauri wa aina hiyo wa kuzingatia haki kwa wananchi kwa "predecessor" wake Jiwe?

Au kwa kuwa wameona huyu ni mwanamama na muislam, ndiyo wanajifanya kimbembele, wakidai kuwa wao ni watumishi wa Mungu na wanatoa maelekezo!
Ni kawaida yao kuonya siku zote.
 
Maaskofu wasije kuwa wameeanza matamko yao kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislamu, mbona wakati wa utawala wa Hayati Magufuli hawakuwa wakimshauri masuala ya kufuata haki na utii wa sheria na katiba.
 
Mapambano yao ni mapambano yetu sote tusiokubali huu udhalimu na dhuluma alizoanzisha jiwe ziendelee katika nchi yetu. Haki siku zote huinua Taifa na kuleta upendo kinyume na dhuluma na udhalimu ambavyo hubomoa Taifa na kujenga chuki za kutisha miongoni mwa raia. ALUTTA! ✊🏾
Mungu wabariki maaskofu
 
Maaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.
Mambo hayahaya ndio mliyafanya mkadhani mnamsaidia Magufuli kumbe ndio mnamtengenezea anguko lake ujinga sana mnafanya nyie mataga mnadhani mnamlipia kisasi JPM kumbe mnamchonganisha na wananchi wake nao wakalia kwamba serikali yao inawaonea vilio vikasikika mbinguni Sasa anzeni Tena kutengeneza anguko la mama kwa kumchonganisha na watu wake na hao viongozi wa dini watu wakilia Tena kwa Mungu wao msijesema sio wazalendo.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom