Uchochezi uchochezi. Huu ni waraka wa nwaka jana February 2020. Eti waraka wa Kwaresma 2020, mbona ilishapita?Acha uongo wako!!! Mbona walikuwa wanasema!!! Ulikuwa umetia pamba masikioni? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Maaskofu Katoliki watoa waraka mzito
Dar es Salaam. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa waraka wa Kwaresima 2020 ambao mbali na masuala ya uinjilishaji, umezungumzia utawala wa kisiasa, wakisema unatakiwa ufanyike ndani ya mipaka ya sheria ya kimaadili.
Waraka huo wenye kichwa cha habari “Ujumbe wa Kwaresima 2020: Ufalme Wako Ufike”, umetolewa na maaskofu wote 33 wa majimbo ya kanisa hilo nchini Tanzania, wakiongozwa na Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga, rais wa TEC.
Tofauti na miaka mingine, waraka mpya umetumia mada za Kibiblia, za kijumla, ukigusia masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya nchi bila ya kunyoosha kidole.
Alipoulizwa kuhusu waraka huo ambao umechapishwa kwa ukamilifu na tovuti ya Redio Vatican, katibu mkuu wa TEC, Padri Charles Kitima alisema ni kweli umetolewa na baraza hilo na umeshasambazwa katika parokia za kanisa hilo nchini.
Kwa hiyo unaona ushauri wa viongozi hawa wa dini Ni mbaya?Maaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.
We waache tu,wamemponza mtu wao Sasa anaburuzwa tu kwenye box.Lugha uliyotumia wala si ya kistaarabu. Kwani baya gani waliloongea hadi utukane? Hivi kwanini hampendi kusikia neno haki likitamkwa? Binadamu tuna shida kubwa sana.
Wewe mbuzi inamaana ulikua huoni ushauri wa akina Bagoza?mwamakula? Na Askofu shayo?Maaskofu wasije kuwa wameeanza matamko yao kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislamu, mbona wakati wa utawala wa Hayati Magufuli hawakuwa wakimshauri masuala ya kufuata haki na utii wa sheria na katiba.
We know them well.wengne tunagombania nao mademu huku mitaan...waaskutishe ..maaskofu wa zamani si wa kizaz hiki...sie wengne tumesoma seminari.tunawajua vzur tu haoJamaa inaonekana una hasirà sana na maaskofu ila ukisoma vzuri ni kwamba wameshauri hawajacommand
I neva argue na akili ndogo hata sku1 ukinifuatilia...huwa nawa ignore watu kama ninyi snaa.sabab naamin tutabishana had asubuh hapa..sababu hujui chochote..u r among majority..ambao always mko wrong...end of storyHuyo mungu ulimjuaje km hukuhubiriwa kwanza ndipo ukamjua mungu, ubahili wako wa kutotoa sadaka ndo unawahukumu maaskaofu km unawatukana wenzio ni mungu yupo unayemuomba anayeruhusu matusi?
Watashaur nin.....huwa sibishan na akili ndogo......kama hyo korona kwel bas tungekua tunakufa na huku mitaan..wafe watu wa ikulu tuu...Mi Tz haina akili na ndomana wajanja wanatumia mwanya huo ku exploit upumbav wenu.Kwa hiyo unaona ushauri wa viongozi hawa wa dini Ni mbaya?
Hata Kama wana mademu je ushauri wao sio muhimu kwa mustakabali waTaifa?
Sasa nakuambia endeleeni kushupaza shingo zenu na ukaidi wa kishamba, nakuambia mtaendelea kufa Kama kuku wenye kideri,mmemtia kiburi huyo my wenu Sasa hawezi tena hata kufungua mdomo.
Shindaneni na Mungu tu,mtajua kuwa Yeye Ndiye.
Tumia lugha za staha, hao ni watu wanaoaminiwa na makundi makubwa ya wafuasi.Maaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.
Wao wanavyomkejeli shujaa wetu unaona sawa...mi nawaona watu wa kawaida tu hao maaskofu...Tumia lugha za staha, hao ni watu wanaoaminiwa na makundi makubwa ya wafuasi.
Hao ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu angalia laana ya Mungu isiwe juu yako,mwenzio alionywa Sana akusikia akamtuma musiba awatukane leo hayupo.Dawa ya kiburi kaburi.Maaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.
Ni kawaida yao kuonya siku zote.Hebu tujiulize hao maaskofu, walikuwa wakitoa ushauri wa aina hiyo wa kuzingatia haki kwa wananchi kwa "predecessor" wake Jiwe?
Au kwa kuwa wameona huyu ni mwanamama na muislam, ndiyo wanajifanya kimbembele, wakidai kuwa wao ni watumishi wa Mungu na wanatoa maelekezo!
Usimwage damu ya mtu usimwage machozi ya mtu umfikia Mungu direct nae atokawia kujibu.Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
Wameusia tu Ili asilewe kiburiDuu, wameona JPM kasepa wameanza kuchomoza
Maaskofu wasije kuwa wameeanza matamko yao kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislamu, mbona wakati wa utawala wa Hayati Magufuli hawakuwa wakimshauri masuala ya kufuata haki na utii wa sheria na katiba.
Mungu wabariki maaskofu
Mambo hayahaya ndio mliyafanya mkadhani mnamsaidia Magufuli kumbe ndio mnamtengenezea anguko lake ujinga sana mnafanya nyie mataga mnadhani mnamlipia kisasi JPM kumbe mnamchonganisha na wananchi wake nao wakalia kwamba serikali yao inawaonea vilio vikasikika mbinguni Sasa anzeni Tena kutengeneza anguko la mama kwa kumchonganisha na watu wake na hao viongozi wa dini watu wakilia Tena kwa Mungu wao msijesema sio wazalendo.Maaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.