kama ndivyo lilivyo, azimio hilo tunaliondoa, HAYO MENGINE VPWazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Kwa hiyo wewe umeona ushoga tu?Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Il yeye point yake ni kuwa hayo mengine yote ni bure kama ushoga ukiwa na kipaumbele maana yake baadae hatutakuwa na wapiganaji wengi watakuwa mashogaKwa hiyo wewe umeona ushoga tu?

Mwambie akupe hiyo website iliyo na hayo maazimio uone kama kuna azimio la ushogakama ndivyo lilivyo, azimio hilo tunaliondoa, HAYO MENGINE VP
Mwambie akupe website ya Bunge la Ulaya aliyoitoa hiyo nyaraka tuthibitishe kama kulikuwa na azimio la ushoga.kama ndivyo lilivyo, azimio hilo tunaliondoa, HAYO MENGINE VP
Unapost wa Id hii na unarudi ku comment kwa id nyingine.Na lissu akishika madaraka hayo mambo yata ruhusiwa kabisa
Watanzania wa sasa sio wajinga.Na lissu akishika madaraka hayo mambo yata ruhusiwa kabisa
Wewe mjinga sana, yaani yote waliondika hapo umechangua hapo. Kweli Botha Mkaburu alisema kweli. Yote mazuri aliyoandika hapo wewe umechangua sex. Duuuuuuuuuuuuuuuuu. OK uwaambia hiyo sisi hatutaki, si sawa, lakini ingawa mtu ni msenge huwezi kumteka na kumuua.Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Mmekalili vibayaUnapost wa Id hii na unarudi ku comment kwa id nyingine.
InapendezaWatanzania wa sasa sio wajinga.
Hilo la sex kaliweka kwa kupandikiza ili watengeneze propaganda kama kawaida yao.Wewe mjinga sana, yaani yote waliondika hapo umechangua hapo. Kweli Botha Mkaburu alisema kweli. Yote mazuri aliyoandika hapo wewe umechangua sex. Duuuuuuuuuuuuuuuuu. OK uwaambia hiyo sisi hatutaki, si sawa, lakini ingawa mtu ni msenge huwezi kumteka na kumuua.