Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing

Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-

2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer

Nyie mnaoshabikia unyama huu unaofanywa na Watawala wa nchi hii, tambueni ya kwamba nchi hii ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi Basi Watu wote kabisa watakaokuwepo kwenye nchi hii LAZIMA wataathirika na vikwazo hivyo.
Tujifunze kupitia kwa wenzetu Nchi zingine ambazo zimewahi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kama vile Zimbabwe, Venezuela, n.k.

Wananchi huko wanateseka Sana hadi kufikia hatua baadhi ya Wasomi Kama vile Maprofesa kuamua kuacha kazi na kukimbilia nchi zingine
 
Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing

Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-

2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer

Kuna mahali wamekulazim8sha kuwa shoga?
 
Hicho kipeperushi mlichokitengeneza nyie mbuzi wa CCM kinapatikana kwenye website ipi ya Bunge la Umoja wa Ulaya?

Hivi mnadhani Watanzania wote ni wapuuzi kama nyie CCM? Kwa taarifa yenu Watanzania wameangalia mijadala yote jana na wanajua hakuna suala la ushoga lililoamuliwa au kuzungumzwa kwenye mjadala wala maazimio ya jana.

Mnavyozidi kuishi kwa kutegemea propaganda hizi za kipuuzi zenye uongo wa wazi ndivyo mnavyozidi lujionesha kwa Watanzania ni namna gani mlivyo watu wajinga, wapuuzi na msiojitambua.

kumbe wamejitungia. kweli wako mwisho !

Mungu tenda
 
Waache wakate, tutajifunza kujitegemea. Ila hiyo michezo yenu ya kupumuliwa mubakie nayo hukohuko CHADEMA?
Hata sasa hivi hapa Dar watu wanafirana usiifanye issue

Ni uamuzi wa mtu na ****** wake.
 
Mwambie akupe website ya Bunge la Ulaya aliyoitoa hiyo nyaraka tuthibitishe kama kulikuwa na azimio la ushoga.

CCM ni wapumbavu wa mwisho kabisa hapa Tanzania. Wanawaonaga Watanzania wajinga sana kiasi cha kuwalisha propaganda za uongo muda wote.
Fungua hii link hapa, halafu nenda azimio F2:-

Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing

Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-

2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Hakuna Hilo Azimio Mkuu Nimesikiliza Jana Siku nzima..

Na Pia Hakuna Mwanaharakati wa Ushoga Tanzania aliyekanatwa unaweza Ukamtaja?
 
Ona sasa mnaanza upotoshaji na propaganda chafu. Tendeni haki muachwe kusakamwa, mbona wazungu wapo freshi tu kutetea haki. Ni haki tu binadamu anatakiwa apate
 
Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing

Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-

2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
waliwahi kusema, kama shetani Naweza wapeleka ikulu watamtumia,
 
Screenshot_20250508-124019_1.jpg

Vingine vyote ni kisingizio tu. Sera Yao kwa Sasa ni ku support Watetezi wa Ushoga tu. Full stop.

Mbona kuna Mashekhe wako rumande siku nyingi, hawatetewi? Ni viongozi wangapi waliwekwa rumande na hatukusikia matamko Yao? Huyu Lissu yupo mbele ya vyombo vya Sheria kwanini watake aachiwe na sio awe dealt with according to the law?

Kama tatizo ni kuachiwa, basi watoe tamko mahabusu wote magerezani waachiwe!

Wao hawana uwezo wa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine kwa matamko. Kama Wana Cha kushauri washauri tu Lakini mamlaka ya kupanga nini Nchi yoyote ifanye hawana. Watoe basi na matamko kwa Russia, India, Pakistan, Israel, Sudan, Mali na kwingineko.
 
Tuwekee link ya maazimio ya bunge la ulaya. Bado unaamini kuna wajinga wanasubiri hizi screen shot zenu?
 
View attachment 3327816
Vingine vyote ni kisingizio tu. Sera Yao kwa Sasa ni ku support Watetezi wa Ushoga tu. Full stop.

Mbona kuna Mashekhe wako rumande siku nyingi, hawatetewi? Ni viongozi wangapi waliwekwa rumande na hatukusikia matamko Yao? Huyu Lissu yupo mbele ya vyombo vya Sheria kwanini watake aachiwe na sio awe dealt with according to the law?

Kama tatizo ni kuachiwa, basi watoe tamko mahabusu wote magerezani waachiwe!

Wao hawana uwezo wa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine kwa matamko. Kama Wana Cha kushauri washauri tu Lakini mamlaka ya kupanga nini Nchi yoyote ifanye hawana. Watoe basi na matamko kwa Russia, India, Pakistan, Israel, Sudan, Mali na kwingineko.
kama mna uhuru wa nchi wakiwachimbia vyoo mbona hamkatai
 
Back
Top Bottom