Tatizo unakuta CCM wakati wanapokea hela zao wanawakubalia ndio maana na wao wanagongelea mulemuleKwa issue ya Lissu bunge la ulaya limeupiga mwingi ila hiyo ya mashoga wamezingua
Tatizo unakuta CCM wakati wanapokea hela zao wanawakubalia ndio maana na wao wanagongelea mulemuleKwa issue ya Lissu bunge la ulaya limeupiga mwingi ila hiyo ya mashoga wamezingua
Inawezekana kabisa mkuu , inaleta ukakasi mno mtu anawezaje kutajataja haya mambo kirahisi tu kama hayupo familia nayo🤔Unakuta hawahawa chawa ndio mashoga lakini kwakua wanalipwa wanakuja kujipinga tena wenyewe humuhumu 🤣🤣🤣
Kweli wewe mjinga sana kwa hiyo ulichokiona ni ushoga tuWazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
mimi siyo MUNGU ,Lakini take my noteKama wewe ni Mungu sawa
Na ndicho CCM inachoomba usiku na mchana nchi iwe na wajinga wengi ili iendelee kubaki madarakani.Il yeye point yake ni kuwa hayo mengine yote ni bure kama ushoga ukiwa na kipaumbele maana yake baadae hatutakuwa na wapiganaji wengi watakuwa mashoga
Mkimjaza upepo malkia wenu akaropoka kama safari iliyopita, mtazidi kumharibia. Haya mambo yanahitaji utulivu wa akili na sio uchama.Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Mtaona tuAshindwecna alegee, kama vipi awachukuectu wafuasi wake wa chadema waende ulaya huko wakaolewe bila bugudha. Lakini hapa, hapana!!
Ukuona mtu anatoa povu lote namna hiyo ujue jiwe limempata gizani. Kwa kweli mashoga mtupishe tuWewe mjinga sana, yaani yote waliondika hapo umechangua hapo. Kweli Botha Mkaburu alisema kweli. Yote mazuri aliyoandika hapo wewe umechangua sex. Duuuuuuuuuuuuuuuuu. OK uwaambia hiyo sisi hatutaki, si sawa, lakini ingawa mtu ni msenge huwezi kumteka na kumuua.
Soma PDF hili hapa wewe bwabwa;- cc Tate MkuuHilo la sex kaliweka kwa kupandikiza ili watengeneze propaganda kama kawaida yao.
Hakuna sehemu kwenye mjadala wala maazimio ya jana bunge la ulaya liliongelea masuala ya ushonga nchini Tanzania.
Hizo ni propaganda mfu wa wajinga na wapumbavu wa CCM.
Uganda alikataa mambo ya ushoga mwaka juzi wakati wa Joe Biden, je nini kimeipata nchi yake?Nyie mnaoshabikia unyama huu unaofanywa na Watawala wa nchi hii, tambueni ya kwamba nchi hii ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi Basi Watu wote kabisa watakaokuwepo kwenye nchi hii LAZIMA wataathirika na vikwazo hivyo.
Tujifunze kupitia kwa wenzetu Nchi zingine ambazo zimewahi kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kama vile Zimbabwe, Venezuela, n.k.
Wananchi huko wanateseka Sana hadi kufikia hatua baadhi ya Wasomi Kama vile Maprofesa kuamua kuacha kazi na kukimbilia nchi zingine
Na chadema ndio watakao hakikisha ushoga uonekane kuwa ni jambo la kawaida kabisaNyie kama mumekubali ushoga, basi inawatosha kwa raha zenu.
Weka Azimio lote, badala ya kutafuta kichaka kidogo cha kujificha.Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Nashukuru umelionaView attachment 3327816
Vingine vyote ni kisingizio tu. Sera Yao kwa Sasa ni ku support Watetezi wa Ushoga tu. Full stop.
Mbona kuna Mashekhe wako rumande siku nyingi, hawatetewi? Ni viongozi wangapi waliwekwa rumande na hatukusikia matamko Yao? Huyu Lissu yupo mbele ya vyombo vya Sheria kwanini watake aachiwe na sio awe dealt with according to the law?
Kama tatizo ni kuachiwa, basi watoe tamko mahabusu wote magerezani waachiwe!
Wao hawana uwezo wa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine kwa matamko. Kama Wana Cha kushauri washauri tu Lakini mamlaka ya kupanga nini Nchi yoyote ifanye hawana. Watoe basi na matamko kwa Russia, India, Pakistan, Israel, Sudan, Mali na kwingineko.
Cha muhimu wasifirane hadharani tu.Ika wenyewe wanataka mpka tuwe na pride day, tupandishe bendera za upinde na tuwafungishe ndoa za jinsia moja
Mzigo huu hapa:- cc Tate MkuuTuwekee link ya maazimio ya bunge la ulaya. Bado unaamini kuna wajinga wanasubiri hizi screen shot zenu?