Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Yaani waswahili wanawaza kidogo sana,katika mambo mengi yanayozungumziwa kwenye hii agenda umeona ushoga tu,na mbona ushoga umezagaa mitaani? Je hawo wazungu wamehusikaje kuusambaza?
Nmekucheki tu profile yako. Kasura kako kanaonyesha tayari wewe ulisha vunjwa marinda, huna clean sheet. Lazima utetee ushoga
 
mimi siyo MUNGU ,Lakini take my note
tena niwapongeze hao wabunge wa ulaya kwa kutufungua macho kuwa wana ajenda ya kumweka ikulu mtu wao
20250508_130910.jpg

Kauli ya serikali ya ccm.
 
Weka official website ya Umoja wa Ulaya ulipotoa hiyo nyaraka mbuzi wa kijana wewe.

Mnafikiri JF wanapatikana wajinga humu mnaowarubuni kwa propaganda zenu z kipuuzi hizo?
Kwani wewe huwezi kuweka hapa website ya Bunge la Ulaya ili ukatushinda dhidi ya vipeperushi vyetu?

Mbona unaloloma bila hoja?
 
View attachment 3327865
Kauli ya serikali ya ccm.
Chief umeua kabisa! Nani kasema CCM INAPINGA USHOGA!?? HIKI NDIYO KITU WANACHOTUMIA KUWAPUMBAZA WAJINGA, KWAMBA ETI WANAPINGA USHOGA! UKWELI NI KWAMBA HAWA WATU NI SUPPORTER WAKUBWA WA USHOGA, TENA SIO ANDIKO HILI TU MAANDIKO RASMI YA KUUNGA MKONO HOJA ZA USHOGA YAPO MENGI SANA!
ZAMANI WALIKUWA WANATUMIA AJENDA YA KUWA UKICHAGUA WAPINZANI KWENYE UCHAGUZI UTALETA VITA, SASA HIVI NAONA WANATUMIA GIA HII YA USHOGA! WATZ TUAMKE CCM NI MKOLONI MWEUSI!!
 
Ndio shida ya kuwa omba omba, tungekuwa tunajitegemea wala yasingetukuta haya.
HAKI.
Haki haina mipaka, na Wala Haki haijali mipaka ya nchi.

"Injustice somewhere is the threat to justice everywhere."

Martin Luther King Jr
 
Kweli wewe mjinga sana kwa hiyo ulichokiona ni ushoga tu
Soma upya mpaka mwisho kisha zingatia matumizi ya neno "pia".

Kama hautaelewa rudi hapa kuonyesha umbumbumbu wako
 
Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing

Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-

2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Wana kimbilia kuongea mambo ya ******* maana wanajua watanzania ni wajinga hawa jui kiingereza wengi wataamini upuuzi wao. Ila yana mwisho na unakaribia.
 
Kwenye hayo maazimio umeona hilo la LGBT peke yake? Maana hicho ni kijisehemu kidogo na wala haijawekwa hata kwa namba inayojitegemea. Au ndio mambo ya akili ndogo?
Usijitoe akili mkuu. Najua uwezo wako wa kuchkata issues
 
Mnataka kuhamisha goli, misaada inaenda kukatwa.😁
Wakate tu kama wana hela nyingi wawape tu hao mashoga,,,na wawape nchi itakayoruhusu watatuane marinda na wawamwagie hayo mahela
 
Wakate tu kama wana hela nyingi wawape tu hao mashoga,,,na wawape nchi itakayoruhusu watatuane marinda na wawamwagie hayo mahela
Kwahiyo hizo walizokuwa wakitoa na mnazipokea zilikuwa ni za ushoga?😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣

Nataka nikuulize ****** ni mali ya mwananchi au ni mali ya serikali?
 
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
Kwa hiyo kwa tafsiri yako, tuyakate yoote hayo kwa sababu tu ya kifungu hicho cha maneno?

Tuyaone yote, kwa ujumla wake hayatufai, kwa sababu tu kumewekwa LGBT. Sisi ni binaadam tunaoweza kutumia akili, au ni maroboti tu!
 
Kwao ****** ni mali ya mwenye ****** sio mali ya serikali.
AAAAIIISSEEEE!
Haya maneno...

Duh! Dah!

Sijui kwa nini haya maneno machache ni kama tani nzima ya zege la kokoto linamwagwa kichwani mwa mtu!
Inawezekana nilishapata kuwa na tafsiri ya aina hii katika kuelezea jambo hili, lakini hata siku moja sikuwahi kupata maneno sahihi kama haya.

Lakini pamoja na yote hayo mkuu 'imho'; kumbuka huyo mwenye ****** wake anapashwa kuutumia huo ****** wake kwa kuangalia mazingira anamo ishi na hiyo mali yake. Kama watu hawana tamaduni za kula nyama za watu kwenye eneo husika; usiende na kuanza biashara ya kuuza nyama ya watu katika eneo husika.

Hapana, katika yoote ninayokubaliana na hawa mabeberu, hili la kulazimisha tabia za namna hiyo katika tamaduni za watu wengine sikubaliani nalo hata mara moja.
hawawezi kuja hapa na ku'impose'; kulazimisha tusichotaka kukifanya kama taifa.
Hayo mengine ni tofauti kabisa na hili.
 
Back
Top Bottom