Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing

Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-

2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer

Hahahahaah .kama ni kweli basi tena TL kashafeli hapo.MUNGU wa mbingu na nchi hawezi kuwa upande wake.Naingia mzigozi kama nilivyofanya kwa HAMAS ,HEZBOLLAH ,NA HUTHIS AND IRAN .
 
Wataalamu wanasema ukitaka kuingia "main road" hakikisha barabara ni salama.
Umejiuliza mpaka wanapata nguvu ya kutu koromea wametupa vingapi?Kama ni watetezi wa ushoga ina maana moja yu hadi hapo ulipo wewe ni mtetezi wa mashoga kwa sababu kwa namna moja au nyingine ulishatumia hela zao zilizo kuja kama msaada hapa nchini.
 
Propaganda na sidhani kama kuna mahala wameongelea au kutaja mashoga kwenye maazimio yao.
 
View attachment 3327816
Vingine vyote ni kisingizio tu. Sera Yao kwa Sasa ni ku support Watetezi wa Ushoga tu. Full stop.

Mbona kuna Mashekhe wako rumande siku nyingi, hawatetewi? Ni viongozi wangapi waliwekwa rumande na hatukusikia matamko Yao? Huyu Lissu yupo mbele ya vyombo vya Sheria kwanini watake aachiwe na sio awe dealt with according to the law?

Kama tatizo ni kuachiwa, basi watoe tamko mahabusu wote magerezani waachiwe!

Wao hawana uwezo wa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine kwa matamko. Kama Wana Cha kushauri washauri tu Lakini mamlaka ya kupanga nini Nchi yoyote ifanye hawana. Watoe basi na matamko kwa Russia, India, Pakistan, Israel, Sudan, Mali na kwingineko.
Tupe official website ya Bunge la ulaya mlipokitoa kicho kipeperushi chenu uvccm kwa propaganda zenu uchwara.

Yaaani mnatunga propaganda hadi wenyewe mnaona aibu😆
 
Si mnachukua hela zao mnatanua mjini na magari ya kifahari?... Kuweni tayari kuingiliwa
Si mnachukua hela zao mnatanua mjini na magari ya kifahari?... Kuweni tayari kuingiliwa sasa
View attachment 3327816
Vingine vyote ni kisingizio tu. Sera Yao kwa Sasa ni ku support Watetezi wa Ushoga tu. Full stop.

Mbona kuna Mashekhe wako rumande siku nyingi, hawatetewi? Ni viongozi wangapi waliwekwa rumande na hatukusikia matamko Yao? Huyu Lissu yupo mbele ya vyombo vya Sheria kwanini watake aachiwe na sio awe dealt with according to the law?

Kama tatizo ni kuachiwa, basi watoe tamko mahabusu wote magerezani waachiwe!

Wao hawana uwezo wa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine kwa matamko. Kama Wana Cha kushauri washauri tu Lakini mamlaka ya kupanga nini Nchi yoyote ifanye hawana. Watoe basi na matamko kwa Russia, India, Pakistan, Israel, Sudan, Mali na kwingineko.
Kwa tz ya Leo Bado unazubaisha watu na propaganda ya ushoga ??Elim!elimu! elimu,,,alitamka lowassa
 
Yaani waswahili wanawaza kidogo sana,katika mambo mengi yanayozungumziwa kwenye hii agenda umeona ushoga tu,na mbona ushoga umezagaa mitaani? Je hawo wazungu wamehusikaje kuusambaza?
 
Mbona Tanzania mashoga wamejazana kila kona naona huko mitandaoni wapo huru tu ?
 
Hicho kipeperushi mlichokitengeneza nyie mbuzi wa CCM kinapatikana kwenye website ipi ya Bunge la Umoja wa Ulaya?

Hivi mnadhani Watanzania wote ni wapuuzi kama nyie CCM? Kwa taarifa yenu Watanzania wameangalia mijadala yote jana na wanajua hakuna suala la ushoga lililoamuliwa au kuzungumzwa kwenye mjadala wala maazimio ya jana.

Mnavyozidi kuishi kwa kutegemea propaganda hizi za kipuuzi zenye uongo wa wazi ndivyo mnavyozidi lujionesha kwa Watanzania ni namna gani mlivyo watu wajinga, wapuuzi na msiojitambua.
Ipo tena namba 2 baada ya issue ya lissu cheki website ya European parliament
 

Attachments

  • Screenshot_20250508-130422.png
    Screenshot_20250508-130422.png
    237.8 KB · Views: 27
Kwani ukichangiwa mchango wa harusi, Huyo mke anakuwa mke wa wachangiaji?
Inategemea kama michango inakuja na masharti kama hela mnazolipwa ninyi machawa.

Kule mnapewa mashart ya kufuata utawala wa sheria mnakubali alafu mkifika huku mnachimbia vichwa vyenu ardhini mkijifanya wababe
 
Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing

Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-

2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;

LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Hakuna shida, Mungu bariki Bunhe la Ulaya na wape piho Makabulu wa Tanzania weusi
 
Ipo tena namba 2 baada ya issue ya lissu cheki website ya European parliament
Weka official website ya Umoja wa Ulaya ulipotoa hiyo nyaraka mbuzi wa kijana wewe.

Mnafikiri JF wanapatikana wajinga humu mnaowarubuni kwa propaganda zenu z kipuuzi hizo?
 
Ize, unachagua kinachokufaa, maisha hayapo complex kama unavyotaka kupotosha
 
Weka official website ya Umoja wa Ulaya ulipotoa hiyo nyaraka mbuzi wa kijana wewe.

Mnafikiri JF wanapatikana wajinga humu mnaowarubuni kwa propaganda zenu z kipuuzi hizo?
 
Mbona Tanzania mashoga wamejazana kila kona naona huko mitandaoni wapo huru tu ?
Unakuta hawahawa chawa ndio mashoga lakini kwakua wanalipwa wanakuja kujipinga tena wenyewe humuhumu 🤣🤣🤣
 
F. whereas the EU supports Tanzania’s development through the Global Europe Multi-annual Indicative Programme 2021-2027 with EUR 726 million; whereas EU Member States bilateral support to Tanzania was approximately EUR 1.2 billion for 2021-2024;


1. Is concerned about the arrest of Tundu Lissu alongside the disqualification of the Chadema party from the 2025 elections;


2. Calls on the Tanzanian authorities to ensure that those responsible for politically motivated disappearances and murders are brought to justice;


3. Fully respects the collective preferences of the Tanzanian people and the internal electoral process of Tanzania, which must reflect the will of its people;


4. Encourages all political parties to contest the upcoming elections; encourages the ruling Chama Cha Mapinduzi party to hold talks with all of the opposition parties over their demands; is of the opinion that the release of Tundu Lissu would give a boost to these talks;


5. Calls on the African Union to engage with the Tanzanian government to find a solution;


6. Notes that EU development aid has only had a very limited effect as exemplified by Tanzania’s deepening health crisis, fuelled by the persisting brain drain of health care professionals;


7. Is worried that the persisting high poverty levels, combined with the very high population growth, will lead to mass emigration;


8. Instructs its President to forward this resolution to the Council, the Commission, the Vice- President of the Commission/High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy, the European External Action Service, the governments and parliaments of the Member States, and the President, government and parliament of Tanzania.


kuna watu vichwa vyao mbovu sijawahi ona aisee

eti hawati tuzaliane na kuongezeka,eti sisi ni maskini wa kutupwa ,eti kwa kuzaliana na kuongezeka sana tunakimbia nchi nk.pumbafu kabisa
 
Back
Top Bottom