Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

We umeona kipengele hicho tu!!?,, simply sasa fanya hivi ondoa kipengele hicho,kifumbie macho deal na mengine ambayo yako lukuki,yatekeleze,,baasi..hakuna haja yakujiumiza kichwa.
 
Kikwete enzi zake alishauri kuwa si kila kitu ni cha kujibu au kuongelea. Vingine havina tija.

Serikali yetu haijawahi kubishana na “washirika wa maendeleo” kuhusu suala la LGBT kama walivyofanya Museveni na Mugabe (RIP). Wala haijawahi kutoa waraka rasmi kimataifa kuainisha sera ya nchi dhidi ya LGBT.

Badala yake imechagua kuwa kimya (ignoring) na kulitumia zaidi kisiasa katika majukwaa ya ndani ya nchi pekee.
 
kutema yai, na kulitafsiri miongoni mwetu, bado ni tatizo sana. kwanza ni maneno mpachiko halafu yanatafsiriwa kimakengeza.
 
Hakuna azimio hilo zaidi ya haya yafuatayo kwenye kiunganishi: MOTION FOR A RESOLUTION Arrest and risk of execution of Tundu Lissu, Chair of Chadema, the main opposition party in Tanzania | B10-0260/2025 | European Parliament
Text

The European Parliament,

– having regard to its previous resolutions on Tanzania

– having regard to Rule 150 of its Rules of Procedure,

A. whereas on 9 April 2025, Tanzanian police arrested Tundu Lissu, chairperson of the main opposition party Chadema; whereas during the arrest, police used excessive force and violence to disperse the surrounding supporters;
B. whereas following the arrest, police charged Lissu with three offences, including the capital offence of treason, in relation to social media posts calling to boycott the forthcoming elections as part the demand for electoral reforms; whereas human rights organisations consider these charges fabricated and the trial politically motivated;
C. whereas Amnesty International documented that on 24 April 2025 police beat up and arrested dozens of people who tried to access the court of Lissu’s case hearing, reportedly leading to the death of one person;
D. whereas Tanzania is slated to have parliamentary elections in October 2025; whereas the ruling Chama cha Mapinduzi has retained power for over 60 years;
E. whereas Tanzania’s ranking in Freedom Houses’ Freedom index was downgraded in 2025 from “partly free” to “not free”; whereas in 2024 UN human rights experts have called on Tanzania to end the ongoing and escalating pattern of human rights violations against opposition political party members, civil society organizations, journalists, Indigenous Peoples and human rights defenders;
1. Calls for the immediate and unconditional release of Tundu Lissu and urges the Tanzanian government to end all arbitrary arrests and attacks against opposition leaders and government critics ahead of the October 2025 general elections;
2. Calls for a thorough, independent, and impartial investigation into the recent disappearances of government critics and opposition supporters as well as any other allegations of police abuse and misconduct, to ensure that those responsible are to be brought to justice in fair trials without recourse to the death penalty;
3. Expresses its concerns regarding human rights violations by law enforcement officials, including frequent allegations of unlawful use of force and other human rights violations in the policing of political assemblies; stresses the universality of the freedom of assembly and expression, and urges the Tanzanian authorities to cease the crackdown on peaceful gatherings and the repression of non-governmental organizations; condemns attacks against journalists and human rights defenders in the country and call for an end to any state-sponsored violence against them;
4. Urges Tanzania to establish a moratorium on executions with a view to abolishing the death penalty and commuting all death sentences;
5. Calls on the EU and Member States to step up engagement with the Tanzanian authorities on Lissu’s case and on the other urgent human rights concerns listed above, including in the context of further EU investments in the country; calls on EU and Member States’ delegations to ensure trial observation in the case of Lissu and all others arbitrarily detained;
6. Instructs its President to forward this resolution to the VP/HR, the Council, the Commission, the governments and parliaments of the Member States, and the President and Parliament of Tanzania.
 

Attachments

  • 1746720574370.png
    124 KB · Views: 22
Wamekujengea taifa linaloitwa Tanganyika kutoka kwenye mapori wakakujengea reli mabarabara madaraja wakakuachia na mfumo mzima wa reli ya kati halafu unataka fidia gani?


Kwao ****** ni mali ya mwenye ****** sio mali ya serikali.
Wamenijengea kwani niliwaomba si shobo zao kutoka huko kwao kuja kutusumbua huku kwani tuliwapa maombi kwamba tunataka waje huku,,,,walianza shobo na bado wanaendeleza shobo,,.....sema zama zao zimeshapita hapo wanawaridhisha tu vibaraka wao ili waendelee kuwaamini...........mali ya serikali ndo maana hadi wanalazimisha watu waruhusiwe kutatuliwa marinda mkigoma hawatoi tusenti twao
 
wangejua hicho kitu cha elijibititi sijui nini wasingeweka, kuweka tu icho kipengele, mbogamboga washapata sapoti ya wananchi. mi mwenyewe napinga ushoga pamoja na kwamba siipendi sisiemu.
 
tupambane tu tujitegemee, kwa sababu wanachosema wazungu ni kwamba, zile pesa wanatupatia sisi kama misaada ( na mama yenu alisheenda kuomba kazunguka sana huko) ndani yake kuna kodi za mashoga, kwa nini upende pesa ya mashoga lakini uwapinge mashoga? hii ni hoja ya msingi sana, na nchi inayojitegemea peke yake ndio hushinda. ulishawahi ona saudia inasumbuliwa suala la ushoga? never, kwa sababu wana pesa, hawaombi msaada kwa wazungu. Tanzania tunatakiwa kupambana tujitegemee, tupunguze kuombaomba misaada ndio maana tunalipiwa hadi na wazungu mashoga.na wengi tu wanaokuja huku kutalii na kujifanya wapo kwenye NGO ni mashoga, tutaweka wapi kizazi chetu hiki ndugu zangu, dunia imechafuka mno.
 
Mtu unapokea mpk misaada ya condoms unategemea nn?
Ndo madhara haya

Ila nilifuatilia mjadala sijaona mahali hiyo issue imeandikwa, hui ni uongo
 
Ulikuwa ni primitive lazima ustaarabishwe,mwambie Mama yako aache kuuwa Wananchi.
 
CCM puuzeni hayo maazimio kama kawaida yenu, hao siyo wachina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…