Primitive kwa viwango vyake sio vyangu,,,,....shobo zake ndo zilimponza kujileta huku, na kwa sasa bado anataka akomae kunitawala.......,,,hapo labda awabebe vibaraka wake akawa control hukohuko kwake ila sio kutaka kuendesha maisha yangu kama vile ni yake, na pesa zao tutaendelea kula na matakwa yao hayatatimizwaUlikuwa ni primitive lazima ustaarabishwe,mwambie Mama yako aache kuuwa Wananchi.
Upotoshaji upi sasa....si ndo ukweli ulivyo.... tokea lini mkoloni aanze kukutetea kisa anakupenda,,,,,washobokeeni tu ila hizo laana zao zitembee kwenu na uzao wenu, sio kulazimisha kila mtu kuingia kwenye hizo laana zaoMods mnaachaje uzi wa upotoshaji kama huu!!??
Mnamwachaje mpotoshaji kama huyu.
Principled tafadhali chukueni hatua.
Hilo aliloliandika na kuonyesha kipande cha taarifa halipo kwenye maazimio ya Bunge la Ulaya.Upotoshaji upi sasa....si ndo ukweli ulivyo.... tokea lini mkoloni aanze kukutetea kisa anakupenda,,,,,washobokeeni tu ila hizo laana zao zitembee kwenu na uzao wenu, sio kulazimisha kila mtu kuingia kwenye hizo laana zao
Haya kafurahieni vibarakaHilo aliloliandika na kuonyesha kipande cha taarifa halipo kwenye maazimio ya Bunge la Ulaya.
Kadanganyaneni mazwazwa.
Asingekuja wewe mpaka leo ungekuwa unasombwa na mwarabu kwenda kuuzwa.Primitive kwa viwango vyake sio vyangu,,,,....shobo zake ndo zilimponza kujileta huku, na kwa sasa bado anataka akomae kunitawala.......,,,hapo labda awabebe vibaraka wake akawa control hukohuko kwake ila sio kutaka kuendesha maisha yangu kama vile ni yake, na pesa zao tutaendelea kula na matakwa yao hayatatimizwa
Huyo mwarabu angefika kwangu kutokea wapi? Maana kwetu hadi tunapata uhuru hakuna kiumbe chenye ngozi nyeupe kiliwahi kukanyaga................... huyo mzungu alikua ni mteja wa hao watumwa wa waarabu....kwani kule Caribbean na Marekani wale jamaa weusi walipelekwa na mwarabu kule? Baada ya kugundua mashine ndo akajifanya kuzuia biashara ili mbaki huku muwe soko zuri la bidhaa zao za viwandaniAsingekuja wewe mpaka leo ungekuwa unasombwa na mwarabu kwenda kuuzwa.
Na ndio walikamatwasio kwamba ameshikwa tu,ameolewa ati. yule mdada aliyekuwa na mwakyembe kusasanua mashoga alimwelezea sana.
Atatekeleza kibaraka Lisu sio TanzaniaWazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Kwani sasa hivi yamekatazwa? Acha uzwazwa huwaoni mashoga kwenye shrehe za wasanii wa Ccm Kila siku?
Kwani sasa hivi yamekatazwa? Acha uzwazwa huwaoni mashoga kwenye shrehe za wasanii wa Ccm Kila siku?
Na lissu akishika madaraka hayo mambo yata ruhusiwa kabisa
MAhusiano ya Lissu na mataifa ya nje ni agenda za LGBTIQ tu. Hana umaarufu mwingine nje ya nchi.Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Kwa hiyo hapo ume ona ushoga tuu ?!Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Ukikubali kuzibuliwa makalio huwezi kuwa na akili nzuri. LGBTIQ is a curse. Hata Mungu alitekekeza Sodoma na GhommorahTukatae, HAKI ya kuwachagua viongozi tunaowataka wenyewe na mengine yote mazuri kwa sababu tu ya hicho kifungu cha LGBQ?
Tukubali tu kupondwa pondwa na jeshi la polisi na kuumizwa; kwa vile hao mabeberu wameghusia hilo la LGBTQ?
Tukubali serkali kukiuka sheria zake yenyewe na kuwatendea wananchi maovu, kwa vile tu Mabeberu wanagusia LJBTQ?
Sisi tutakjuwa ni binaadam wenye akili timamu, au tutakuwa ni mazombie?
Kwa maana hiyo, nami napendekeza serikali iache kabisa kuchukuwa pesa za haya mabeberu; kwa sababu hiyo pesa inao uhusiano na LGBTQ!
Tukate kabisa uhusiano na haya mataifa; mabalozi wao waondoke hapa mara moja kwa sababu wanatia dosari katika jamii yetu.