Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Wangetumwa weusi wenzako wakamata watumwa kuja kukusomba na kukupeleka kwa Waarabu.

Sikatai kuwa wazungu pia walifanya biashara hiyo ya kusomba primitives na kwenda kuwatumikisha lakini wao ndio hatimae walipiga marufuku biashara hiyo.
Basi muda wa hio michezo ya kipuuzi imeisha,,,,wajue kubalance shobo ya huku hayawahusu wakiendeleza shobo hela zitaliwa tu na waendelee kubweka......na walipiga marufuku hio biashara sio kwamba walikua wanawapenda sana, wasingevumbua mashine hadi leo wangeendelea na hio biashara.........endeleeni kuwalamba miguu hao mabwana zenu kwa mapenzi yenu wenyewe
 
Huwezi kuua raia wako halafu uachwe salama.
ben+saananee.jpg
mdude.jpg
soka-e1724250077267-1024x968.jpg
kibao.jpg
 
Sasa unadhani watafanya nini zaidi ya kubweka na kutishia visenti vyao ambavyo sahv alternative zipo sio kama zamani,,,,,labda kama wana mpango wa kuleta magaidi, tofauti na hapo hawana la kutufanya na maneno yao kwetu sio sheria wapambane na nchi zao na matatizo ya kwao
Wewe bado primitive huwezi kushindana na watu walioenda shule.
 
Wewe bado primitive huwezi kushindana na watu walioenda shule.
Bora maana wengi wa hao walioenda shule ndo vibaraka wa hao wazungu,,,,maana hata mifumo yao ya elimu za kikoloni waliyoleta ilikua kwa ajili ya kutengeneza vibaraka kama nyie kwahio sishangai
 
Bora maana wengi wa hao walioenda shule ndo vibaraka wa hao wazungu,,,,maana hata mifumo yao ya elimu za kikoloni waliyoleta ilikua kwa ajili ya kutengeneza vibaraka kama nyie kwahio sishangai
Utaendelea kutawaliwa na Wazungu Direct na indirect mpaka Yesu arudi.
 
Una furahia ukoloni
Unaujua ukoloni au unausikia ukoloni jamaa yangu? Unaweza angalau kuchambua nadharia mbili za kuhusu ukoloni na relevance yake kwa Africa halafu ukaiweka Tanzania mezani na kuimulika juu ya hizo nadharia na baadae ukaniuliza Hilo swali?
 
Mkuu kwani kwa kipindi hiki Tanzania iliwakamata mashoga mpaka EU waiagize Serikali yetu kuwaachia mara moja?
Pamoja na kwamba swala la Ushoga halikuwemo kwenye maazimio ya EU baada kuijadili Tanzania serikali ya CCM bado haina ubavu wa kupinga!
Tusisahau wakati wa JPM,Makonda alipotaka kuwakamata Mashoga,jamaa walipopiga spana serikali ilimruka na kudai maamuzi ya Makonda siyo Msimamo wa Serikali.
Dawa tuache kutembeza bakuri kwao! Vinginevyo,FREE LISSU AND AGREE REFORMS!
 
Kwani Kwa sasa yanafanyika Kwa kificho! Kwanini mnadandia hoja dhaifu Kwa kufunikwa mambo ya msingi na hata Bunge la Umoja wa Ulaya hakijazungumzia huo uchafu?
Madai ya Lisu kwenye uchaguzi, pamoja na katiba ya chama chake au msimamo wake kuhusu mapenzi ya jinsia Moja yapo katika mambo hayo?
Tuseme amekamatwa Kwa sababu ya kutaka Tanzania iwe nchi ya homosexuality?
Lakini unajua msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu Ushoga mpaka sasa na haijawahi kubadilika?
Wewe nawe unapumuliwa nini? Yaani kati ya USHOGA na kukamatwa Lissu unaona USHOGA ni hoja dhaifu? ******* mpo hata JF kumbe
 
Wewe ni mbwa kama mbwa Koko! Serikali Yako Ndio inaruhusu na kulinda mashoga na haijawahi kuchukua hatua yoyote dhidi ya mashoga
Na huu hapa Ndio msimamo wa serikali
Hata wewe ni shoga, ila Seikali haijakukamata tu
 
Nimeona vingi, ila nakukumbusha tu kuwa yote yale ya haki za kibinadamu, uchaguzi, demokrasia ni zuha tu. Wanachotaka ni nchi yetu kuhalalisha ndoa za jinsia moja LGBTIQ
Hapana hawajasema hivyo kwahiyo usiwaze kile ulichowaza wewe au unacho jua wewe.
Mbona kenya hawaja halalisha ushoga ila hawaja andamwa kama sisi.
 
Bora maana wengi wa hao walioenda shule ndo vibaraka wa hao wazungu,,,,maana hata mifumo yao ya elimu za kikoloni waliyoleta ilikua kwa ajili ya kutengeneza vibaraka kama nyie kwahio sishangai
Tundu kaacha na wanae huko huko ukimbizini
 
Sijui kama unastahili kuwa kwenye Jukwaa la GT na ukawa sehemu ya asset ya Taifa
Ingia kaangalie threads zangu ndiyo uniamulie, siyo unaniponda kwa vile nimegusa masilahi yako kwenye ushoga. Niko humu tangu Jambo Forums, acha makasiriko
 
Hilo la sex kaliweka kwa kupandikiza ili watengeneze propaganda kama kawaida yao.

Hakuna sehemu kwenye mjadala wala maazimio ya jana bunge la ulaya liliongelea masuala ya ushonga nchini Tanzania.

Hizo ni propaganda mfu wa wajinga na wapumbavu wa CCM.
Ulisijikiza BBC Jana?
 
Back
Top Bottom