Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Mods mnaachaje uzi wa upotoshaji kama huu!!??
Mnamwachaje mpotoshaji kama huyu.
Principled tafadhali chukueni hatua.
Kwani wewe residentura ni shoga pia? Kwani huu uzi una shida gani? Povu jingi kumbe jiwe limekupata.

Endeleni tu kupumuliwa visogoni, ila CHADEMA hamtakuja pata uongozi wa nchi
 
Hilo aliloliandika na kuonyesha kipande cha taarifa halipo kwenye maazimio ya Bunge la Ulaya.
Kadanganyaneni mazwazwa.
Kumbe unabishana bila kusoma maazimio?? PDF hili hapa, soma azimio F2, kisha urudi hapa utuambie ulichoona:-
 
Kwa hiyo hapo ume ona ushoga tuu ?!

Hakuna kingine zaidi ya hicho umeona ?!
Nimeona vingi, ila nakukumbusha tu kuwa yote yale ya haki za kibinadamu, uchaguzi, demokrasia ni zuha tu. Wanachotaka ni nchi yetu kuhalalisha ndoa za jinsia moja LGBTIQ
 
Kwani Kwa sasa yanafanyika Kwa kificho! Kwanini mnadandia hoja dhaifu Kwa kufunikwa mambo ya msingi na hata Bunge la Umoja wa Ulaya hakijazungumzia huo uchafu?
Madai ya Lisu kwenye uchaguzi, pamoja na katiba ya chama chake au msimamo wake kuhusu mapenzi ya jinsia Moja yapo katika mambo hayo?
Tuseme amekamatwa Kwa sababu ya kutaka Tanzania iwe nchi ya homosexuality?
Lakini unajua msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu Ushoga mpaka sasa na haijawahi kubadilika?

Akiingia huyo yatakuwa kwa wazi na sio hofu kama iliyop sasa
 

Attachments

  • Screenshot_20250509-084358_1.jpg
    Screenshot_20250509-084358_1.jpg
    162.9 KB · Views: 16
Nimeona vingi, ila nakukumbusha tu kuwa yote yale ya haki za kibinadamu, uchaguzi, demokrasia ni zuha tu. Wanachotaka ni nchi yetu kuhalalisha ndoa za jinsia moja LGBTIQ
Wewe ni mbwa kama mbwa Koko! Serikali Yako Ndio inaruhusu na kulinda mashoga na haijawahi kuchukua hatua yoyote dhidi ya mashoga
Na huu hapa Ndio msimamo wa serikali
 

Attachments

  • Screenshot_20250509-084358_1.jpg
    Screenshot_20250509-084358_1.jpg
    162.9 KB · Views: 15
Kwahiyo Ushoga ni ovu zaidi kuliko utekaji na uuaji holela wa raia wasio na hatia?

Hii nchi imelogwa sio buree, nini hikii? Khaaah
 
Noel alnaliwa na Diamond kwa hiyo ni mke mwenzie na Zuchu
Na Diamond anatumbuiza kwenye mikutano mkuu wa Ccm ambapo Mwenyekiti ni Samia. Tuoneshe shiga hata mmoja kwenye mikutano ya CHADEMA
 
Hilo bunge ni lao kama Bunge la Afrika Mashariki halina madhara yoyote. Ni matumizi yao mabaya ya muda na rasilimali zi gine. Kifupi Umoja wa Ulaya hauna nguvu yoyote kwa ulimwengu wa sasa ambao mtu ataamua ku side na wengine
 
Na lissu akishika madaraka hayo mambo yata ruhusiwa kabisa
Hata akiruhusu kama wewe huna elements za ushoga utalazimishwa kujihusisha?

Kwani pamoja na ushoga kupingwa lakini ushoga upo na ni tabia ya mtu sio ruhusa ya kiongozi ndiyo itakufanya wewe uwe shoga ama lah.

Swali jepesi kwako, akija kiongozi akasema mashoga wana haki ya sawa na wasio mashoga ina maana wewe utakuwa shoga kisa tu kiongozi kawapa mashoga haki?
 
Huyo mwarabu angefika kwangu kutokea wapi? Maana kwetu hadi tunapata uhuru hakuna kiumbe chenye ngozi nyeupe kiliwahi kukanyaga................... huyo mzungu
Wangetumwa weusi wenzako wakamata watumwa kuja kukusomba na kukupeleka kwa Waarabu.

Sikatai kuwa wazungu pia walifanya biashara hiyo ya kusomba primitives na kwenda kuwatumikisha lakini wao ndio hatimae walipiga marufuku biashara hiyo.
 
Hilo bunge ni lao kama Bunge la Afrika Mashariki halina madhara yoyote. Ni matumizi yao mabaya ya muda na rasilimali zi gine. Kifupi Umoja wa Ulaya hauna nguvu yoyote kwa ulimwengu wa sasa ambao mtu ataamua ku side na wengine
Ataamua kuside na nani anaowajua? Kwa aina ya wabunge wale Ndio wataushauri serikali kweli kweli kabisa? Kina tale tale wanaisubiria Mama akakop
 
Back
Top Bottom