Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika Tarehe 28 & 29 April 2026

Maazimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA kilichofanyika Tarehe 28 & 29 April 2026

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
HHZxsOpWkAAcji4.jpeg

HHZxs4BWYAAXe4u.jpeg

HHZxtYBWgAAuaLC.jpeg
 
CHAD

C

CHADEMA uhusika wao wa kuratibu na kufanikisha mauaji ya Oct 29, umesababisha chama chao kipoteze mvuto na Imani kwa watanzia wenye mapenzi mema kwa nchi yao.
CHADEMA ndio walikua wanapiga raia risasi mitaani na majumbani?
 
Kipengele namba 6 pamoja na mambo mengine kamati kuu imeazimia kuunda kamati ndogo ya kuandaa muswada wa sheria utakao eleza utaratibu wa kukwamua mchakato wa katiba.

Naomba kupata ufafanuzi kwenye haya

1. Mchakato wa kuandaa muswada hapa tanzania huwa unahusisha bunge au kundi lolote nje ya michakato ya kibunge?

2. Kama chama hakiitambui gvt iliyopo huu mchakato wa katiba mpya utaidhinishwa na nani? Chama au serikali?
Katiba sio mali ya serikali ni mali ya wananchi, serikali haiundi katiba inaundwa na wananchi wenyewe jukumu la serikali ni ku facilitate tu.
 
Katiba sio mali ya serikali ni mali ya wananchi, serikali haiundi katiba inaundwa na wananchi wenyewe jukumu la serikali ni ku facilitate tu.
Hapa bado kuna utata boss maana Chama kikaamini serikali iliyopo ni haramu sababu ya namna viongozi wake walivyopatikana. Je ni sawa kuitambua serikali haramu ku facilitate?
 
Hapa bado kuna utata boss maana Chama kikaamini serikali iliyopo ni haramu sababu ya namna viongozi wake walivyopatikana. Je ni sawa kuitambua serikali haramu ku facilitate?
Serikali ni Haram ipo kwa nguvu ya mtutu ndio maana tunataka serikali ya mpito imanage ikiwa ni pamoja na kupata katiba mpya.
 
Tundu Lissu, Heche, na Kitima. Vipi, niwaongeze wengine?
Tundu Lissu, Heche walikuwepo gerezani tarehe 29, Kitima sijamuonda kwenye maandamano akiratibu naomba picha ya Kitima akiwa kwenye maandamano akifanya uratibu.
 
Kipengele namba 6 pamoja na mambo mengine kamati kuu imeazimia kuunda kamati ndogo ya kuandaa muswada wa sheria utakao eleza utaratibu wa kukwamua mchakato wa katiba.

Naomba kupata ufafanuzi kwenye haya

1. Mchakato wa kuandaa muswada hapa tanzania huwa unahusisha bunge au kundi lolote nje ya michakato ya kibunge?

2. Kama chama hakiitambui gvt iliyopo huu mchakato wa katiba mpya utaidhinishwa na nani? Chama au serikali?
Niliposoma sehemu hiyo fikra kama zako ziliniijia akilini.

Chama hakiwezi kuandaa mswada; na hata kikiandaa kitu kama hicho, ni lazima kipelekwe kwenye Bunge Batili lililopo.
Hii itakuwa ni kazi mbovu isiyokuwa na manufaa yoyote.

Serikali Batili haiwezi kusimamia mchakato wa kutengeneza katiba mpya.

kinachotakiwa ni kuwepo kwa serikali ya mpito, na Bunge Maalum lililoundwa kusimamia mchakato huo wa Katiba Mpya..

Ukweli ni kwamba swala la Katiba Mpya haliwezekani chini ya serikali na Bunge Batili.
 
Back
Top Bottom