LGE2024 Maazimio ya mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mbowe na CHADEMA yake sasa ni dhahiri wamepoteza dira na hawana lolote jipya wanachoweza ku-offer kwa Watanganyika.
Chama ambacho kinataka dola kila kukicha ni kulialia tu, sasa wananchi wanalia na CHADEMA nao wanalia sasa nani atamsaidia mwenzake..
Siasa za kutafuta huruma kutoka kwa wananchi zimepitwa na wakati. Kweli leo hii MBOWE bado natuletea siasa ambazo MREMA alikuwa nazo miaka 30 iliyopita?
Wizi wa KURA kwa CCM siyo jambo geni wala jipya kwetu,, kilichotakiwa ni yeye kutupa feasible solution na si kuendelea kulia kulia..
Wanapofeli MBOWE na CHADEMA yao ni kupambana kwa style ya kutafuta huruma ambayo haitowaletea tija,, kama wanataka kuing`oa CCM inabidi wawashawishi wale watu ambao huwa hawapigi kura ambao asilimia kubwa ukiangalia ndo wamechoshwa na CCM.
Kama CHADEMA inaweza kutembelea mara kawa mara kila KATA ya nchi hii na kuwaelezea Watanganyika wa kata husika walipokwamishwa na CCM na nini CHADEMA itafanya kubadili maisha yao itaamsha watu..
Lakini huku kulialia kila siku haina msaada wowote na wataendelea kulia tu..
 
Kilichosemwa hapo ni msimamo wa chama, kupitia kamati kuu.
Mbowe ni muwasilishaji tu..
Hivyo basi kama ni matusi tukana kamati KUU.
Hayo yanayojiongelesha ujinga ni maccm.yanaongea kinafiki kujifanya yana machungu ili chadema iharibikiwe yafurahi.Siasa za tanzania bado hazijafika hatua yakudharau maadhimio yaliyotolewa na kikao halali cha chama.yanapamp kujifanya kungefanyika maamuzi zaidi ya hayo maana yake yananataka kutokee ugomvi ili badae yaje tena kusema chadema ni chama cha kuvunja amani ya nchi.kwahiyo busara zinazotumika kwao sio njema kwasababu haziwasaidii lengo lao lakuiua chadema kufikiwa.Tunapaswa tuwapuuze.
 
Mbowe na CHADEMA yake sasa ni dhahiri wamepoteza dira na hawana lolote jipya wanachoweza ku-offer kwa Watanganyika.
Chama ambacho kinataka dola kila kukicha ni kulialia tu, sasa wananchi wanalia na CHADEMA nao wanalia sasa nani atamsaidia mwenzake..
Siasa za kutafuta huruma kutoka kwa wananchi zimepitwa na wakati. Kweli leo hii MBOWE bado natuletea siasa ambazo MREMA alikuwa nazo miaka 30 iliyopita?
Wizi wa KURA kwa CCM siyo jambo geni wala jipya kwetu,, kilichotakiwa ni yeye kutupa feasible solution na si kuendelea kulia kulia..
Wanapofeli MBOWE na CHADEMA yao ni kupambana kwa style ya kutafuta huruma ambayo haitowaletea tija,, kama wanataka kuing`oa CCM inabidi wawashawishi wale watu ambao huwa hawapigi kura ambao asilimia kubwa ukiangalia ndo wamechoshwa na CCM.
Kama CHADEMA inaweza kutembelea mara kawa mara kila KATA ya nchi hii na kuwaelezea Watanganyika wa kata husika walipokwamishwa na CCM na nini CHADEMA itafanya kubadili maisha yao itaamsha watu..
Lakini huku kulialia kila siku haina msaada wowote na wataendelea kulia tu..
Tatizo sio la chadema nila wenye nchi.ndo maana chadema inatanguliza kwanza busara.wananchii wenyewe mnaoisema chadema mko mitandaoni tu na kazi nikulaumu mkiambiwa mjitokeze kuandamana mnaingiza mkia matakoni.Tuupe muda nafasi icho unachokitamani kitokee kitatokea chenyewe baada ya wananchi kuchoshwa na uhuni unaofanywa na ccm.Ila hiyo njia haiwezi kuharakishwa na chadema wakati unaonekana kabisa ni mtego na msajili kalamu iko mfuko wa shati.
 
Kuandamana sio suluhisho la kwanza, na ndo hapo mnapokosea, kwa kuwaza MAANDAMANO..
Maandamano ni kitu cha mwisho kabisa,,, kama CHADEMA haiwezi kushawishi watu wakapige KURA itapata wapi nguvu ya kushawishi watu kwa sasa wakaandamane?
Ndo maana nasema CHADEMA iende chini ikatafute watu walipo na kuwapa ukweli ulio hai kwamba tuko kwenye UTAWALA uisofaa kwa sababu kadhaa na yenyewe CHADEMA inaweza kufanya vitu kadhaa ili kubadili hii hali iliyopo sasa..
Baada ya hapo ushawishi ukifanya kazi then watu wataenda kupiga KURA kwa wingi wao,,, sasa kama CCM ikiiba KURA ndo hapo MAANDAMANO yatapata nguvu kwasababu watu watakuwa wanapigania KURA na MUDA wao waliopoteza..
SIASA is just a matter of PSYCHOLOGY... Huwezi kumtoa mtu ndani akaandamane kwakitu ambacho hakimgusi direct...

Wale wanafunzi wa INDONESIA na GEN Z wa Kenya waliaandamana kwasababu waliguswa moja kwa moja na walichokuwa wanapigania... Kwani we hukuona kwamba maandamano ya AZIMIO yalifeli lakini ya GEN Z yalifanikiwa?
Huwezi kumtoa mtu nyumbani akaandamane kupigania KURA ambazo hakushiriki kupiga wala kusikiliza KAMPENI...
Hiyo PEOPLES` POWER inayotamkwa haiji tu hivi hivi bila mipango inayoeleweka. CHADEMA ijipange iache kulilia kitu ambacho kinafahamika miaka nenda rudi.
 
Hakuna aliyesusia uchaguzi bali mbinu chafu za Magufuri,Mahera na Ndugai ndizo zilizotumika kuchafua uchaguzi.
Unaonekana wewe ni mgeni sana CHADEMA. Pitia hotuba ya mwenyekiti wa maisha Mbowe kabla ya uchaguzi mwaka huu akisema hamtasusia tena. Kususa ni haiba yenu😁😁
 
Wamekosa amani na chama chao kimewatema totally.
Tufanye ni kweli chama Chao kimewatema : Ndio Nyinyi chadema mmepata faida gani ?! Kama kimewatema wenyeviti wa CCM wa zamani na kuweka wenyeviti wa CCM wapya hii ni kuonyesha namna CCM ilivyokuwa na utajiri wa wanachama wenye sifa ya kuongoza nchi kama timu ya mpira yenye utajiri wa wachezaji wenye uwezo mzuri wa kuipa timu ushindi ya kwamba kipindi Cha kwanza wanawekwa wachezaji fulani na kipindi Cha pili wakiwekwa wengine haimaanishi kuwa wale waliotolewa hawajui kucheza mpira bali wanapumzishwa ili wapate nguvu ya kuisaidia timu katika mechi nyingine na hicho ndicho kinachotokea ndani ya CCM wanapowaonyesha wapinzani uchwara kwama chadema kuwa CCM ina maelfu ya wanachama wenye sifa za kuongoza nchi.
 
Kuondokana na ugonjwa wa sonona.
 
HATUNA SHIDA NA UJINGA WENU.

Nyie mngekuwa sio wajinga mngekuwa mlishaishika ikulu muda mrefu! Kama sisi wajinga tumeweza kuongoza nchi tangu 1961 hadi leo na nyinyi werevu kuendelea kulalamika kuwa mara mumeibiwa kura, mara uchaguzi haukuwa huru na haki na visingizio kibao pasi na kuchukua hatua yoyote mbadala ya kuwaingiza ikulu, basi ujinga wetu ni bora kuliko werevu wenu.
Ujinga wetu unatuwezesha kuongoza nchi na nyinyi uwerevu wenu unawawezesha kulalamika mitandaoni na kwenye vijiwe vya kahawa.! Tangu lini mtu mwerevu akawa muoga wa kufanya maamuzi! Kila muda mnaibiwa kura mnaishia kutoa matamko ya kujilowaza pasi na kufanya maamuzi yatakayoleta mabadiliko ?! Au ndio mnafanyia kazi maneno ya Yesu kuwa ukipigwa Kofi shavunla kulia geuza na la kushoto.?!
Ukinyang'anywa koti toa na shati?!Kama huo ni werevu sisi tuacheni na ujinga wetu TUENDELEE KUONGOZA NCHI MILELE .
 
Mzee Warioba alitangulia kuwapa desa lakini bado wamefeli kwa kuja na maazimio yasiyo na nguvu yoyote

Warioba aliposema waziri wa TAMISEMI ameenda kinyume na maagizo na maelekezo ya viongozi wa CCM walitakiwa watembee humo humo.

Warioba ni mtu mkubwa sana, ni mwana CCM mkongwe. Kutamka yale aliyotamka kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa ni credit kwa watu wote wapenda haki na wapinzani walitakiwa kupenya humo humo

Warioba kusema serikali imeenda kinyume na chama cha CCM kwa kuengua wagombea na kuandikisha wapiga kura feki na kupiga kura feki CHADEMA walikuwa wamepewa desa la maana kutembea nalo
Tatizo sio chadema vinginevyo labda unataka zitumike njia zitakazoleta machafuko.kwasababu hakuna ambacho hakijulikani ni busara tu ndio zinawaongoza chadema.
 
Kwa kuwa, wananchi wanawafahamu viongozi waliotangazwa kwa wizi, bila kushinda; Kamati Kuu inawahimiza kwamba, wananchi wa maeneo hayo kuwanyima ushirikiano viongozi wote wa serikali za mitaa na watendaji wa mitaa/vijiji na kata walioshiriki kuharamisha uchaguzi wa tarehe 27 Novemba, 2024.
Hahaha
 
Nyie mngekuwa sio wajinga mngekuwa mlishaishika ikulu muda mrefu! Kama sisi wajinga tumeweza kuongoza nchi tangu 1961 hadi leo na nyinyi werevu kuendelea kulalamika kuwa mara mumeibiwa kura, mara uchaguzi haukuwa huru na haki na visingizio kibao pasi na kuchukua hatua yoyote mbadala ya kuwaingiza ikulu, basi ujinga wetu ni bora kuliko werevu wenu.
Ujinga wetu unatuwezesha kuongoza nchi na nyinyi uwerevu wenu unawawezesha kulalamika mitandaoni na kwenye vijiwe vya kahawa.! Tangu lini mtu mwerevu akawa muoga wa kufanya maamuzi! Kila muda mnaibiwa kura mnaishia kutoa matamko ya kujilowaza pasi na kufanya maamuzi yatakayoleta mabadiliko ?! Au ndio mnafanyia kazi maneno ya Yesu kuwa ukipigwa Kofi shavunla kulia geuza na la kushoto.?!
Ukinyang'anywa koti toa na shati?!Kama huo ni werevu sisi tuacheni na ujinga wetu TUENDELEE KUONGOZA NCHI MILELE .
Kwa akili hizi ulizonazo hiyo ikulu msingeirithi toka ukoloni nakuapia ingekua nikwakuipambania kamwe msingeweza na wapinzani wenu wala wasingekua na haja yakupora uchaguzi.Hizo akili unazotambia mnazo mngezielekeza kwenye maendeleo kwasababu kila kitu kipo kasoro uongozi bora.
 
Maneno ya mkosaji ! Maendeleo yapo tena makubwa sana. Nchi imejaa amani na utulivu kila mahala.
Mikoa yote imeunganishwa kwa barabara za lami.
Umeme upo hadi vijijini.
Huduma za mawasiliano kama kawa watu tunajirusha Utube , Whatsapp , Facebook, Twitter na TikTok bila kisahau jamii forums.
Sasa tumeletewa na treni ya mwendokasi kufumba na kufumbua umeshatoka Dar hadi Dodoma.
Elimu imepanuka, vyuo vikuu vinaongezeka kila mara.
Kwa sasa kusoma hadi chuo kikuu sio jambo la ajabu ukilinganisha na miaka 30 iliyopita.
Tanzania ya leo na Tanzania ya miaka 20 iliyopita tafauti sana wachilia mbali kulinganisha Tanzania ya leo na Tanzania ya 1961 /1970.
Kwa watu wanaosafiri kwa kutumia barabara kutoka mikoa ya kanda ya ziwa kuelekea Dodoma/Dar kupitia Singida wakikumbuka shida,khofu,wasiwasi na mashaka waliyokuwa wakiyapata wanapofika mlima Sekenke halafu uwambie serikali haijaleta maendeleo wanaweza kukupiga mawe na kukutemea mate usoni.
 
Back
Top Bottom