sudan iii
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 263
- 323
Kikupe mrejesho kidogo kwa kikao MELSAT cha mwisho kilichofanyikia MUHAS kati ya mambo tuliokubaliana na yakachukuliwa na mwanasheria kuyafanyia citation ili yapelekwe kwa wahusika yaanze kutumika rasmi ni kama ifuatavyo
1. Mkuu wa maabara au msimamizi wa department anatakiwa awe na basic education ya lab hivyo drs/pathologist watakosa nafasi hizo na tutazishika wenyewe
2. Mshahara kwa level ya degree iwe sawa na pharmacy maana wanatupiga gap pakubwa ...ila hili kisingizio ilikuwa n muda wa masomo kuwa hatulingani ...kwaio makubaliano degree ya lab huenda ikawa miaka 4 kuanzia intake ijayo
3. Kuwepo na mishahara ya masters na kuendelea katika level ya maabara maana hadi sasa wenye masters za lab hazina mishahara ko wanalipwa wa degree
4. Kada nyingine zisijihusishe na kufanya vipimo vya lab vyovyoye vile akama ilivyo sisi ambavyo hatuingilii majukum yao