MABABU ZETU WATAENDA MOTONI WOTE?

MABABU ZETU WATAENDA MOTONI WOTE?

Mchawi mwandamizi

Senior Member
Joined
Jan 17, 2020
Posts
117
Reaction score
335
Habari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na kukaririshwa ,hivyo tumekuwa umma wa yesu na umma wa muhamad??JE MABABU ZETU WALIOKUFA BILA KUWAJUA YESU NA MUHAMAD WATAENDA JEHANAMU? KWA KOSA GANI? KATIKA UISLAMU INADAIWA PEPO INA MADARAJA,JE WAZEE WETU WATAKOSA KABISA PEPO HATA ILE YA DARAJA LA CHINI?
 
ishi kulingana na kile unakijua
suala la kwenda mbinguni au motoni Mungu ndo anajua
Biblia inasema usihukumu
 
Mambo ya mbingu na stori za kuchomwa moto nimuendelezo wa mambo ya kudhania
 
Back
Top Bottom