Soma maandiko uelewe kwa kifupi hawataenda moyoni kwa kwa kuwa hawakuhubiriwa biblia na ndo maana maandiko yanasema injili ikihubiriwa duniani kote na hapo ndo mwisho wa dunia utafika ili kila mtu atahukumiwa kwa makosa yake.wajuvi wa biblia mtusaidieHabari wanajukwaa,hasa wafia dini. Kabla ya kuja dini afrika mababu zetu waliishi kwa Mila na desturi zao,hawakumjua yesu Wala muhamad, na sisi tuliomjua yes na muhamad tumemjua kwa kusimuliwa na kukaririshwa ,hivyo tumekuwa umma wa yesu na umma wa muhamad??JE MABABU ZETU WALIOKUFA BILA KUWAJUA YESU NA MUHAMAD WATAENDA JEHANAMU? KWA KOSA GANI? KATIKA UISLAMU INADAIWA PEPO INA MADARAJA,JE WAZEE WETU WATAKOSA KABISA PEPO HATA ILE YA DARAJA LA CHINI?