Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Chapati na pilau. Hivi vitu hata nipelekwe Zimbombo sitakaa nijue kupika
 
Vitu vya ngano kama chapati, maandazi etc asee bado n changamoto, siku hizi pilau kuna viungo vya dukani jero tuu
 
Choclote
 
Ile Pilau niliyopika siku ile ya Ckrismass Mungu mwenyewe ananajua. Isingekuwa majirani kuokoa jahazi kwa kuleta kihotpot cha pilau makinikia nilikuwa naumbuka siku ile.
pole
 
Mwanaume Kwanza hapiki anaandaa.

Napika karibia kila chakula nachokijua. Hadi mikate naoka.

Cc mama klaree
Ubarikiwe mkuu.....
kitu ninachoweza ni kuchemsha maji tu.
tena ya kuoga
 
Wengi humu Pilau. chapati, nguna hivi kweli hakuna Mchina humu atusaidie jinsi ya kuandaa mapishi ya kupika Kobe!! chatu!! basi hata vyura maisha!! rahisi yale!!! hakika ukionja huachi!! mara ya kwanza watakuficha, utajua baada ya kuvila mwezi mzima.

Kacholi je? wahindi mpo?? NJala Ethiopian food mitaa ya Regeant Estate palee! nyuma ya May fair!! hawapo pia, yaani hivi ni vyakula vya kiafrica kabisa

Ugali ya mchele. muhogo nina hakika hkna anaye weza humu!! na ulivo mtamu unateleza tu hasa ukiwa na kanyama ka kuku mchemsho hivi daaa!! mara huyu umeshiba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…