Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Siku hizi mabachela Kama wanataka kupika hata siyo kazi ki vile labda Kama akili inakuwa haijatulia, vyakula tayari kwa kupika vipo supermarket kuna maharage masafi kabisa hakuna haja ya kununua maharage nusu kilo unachambua yanabaki mawili yaani ukinunua kilo nzima unapika yote bila kutupa hata moja njia rahisi ya kupika maharage tumia chupa ya chai weka huko usiku mzima Asubuhi unaunga tu, nyama zote kuna chupa za chai pana Kama sufuria weka huko Asubuhi na jioni ukifika unaunga tu, mchele nunua grade one supermarket ushachambuliwa wewe ni kuosha na kupika, chapati kuna dough mixer na kikaango cha umeme kinasukuma chenyewe, vikatio vya viungo vipo vinaitwa chopper sasa nini mtu ashindwe kupika mpaka ale mama ntilie, juice kuna blender unasaga tu, Kama ni vyombo usirundike kila ulitumia unaosha.
 
Back
Top Bottom