Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.Kupika kila siku kunachosha fanya hivi kama una jokofu, wewe tenga siku upike vyakula tofauti tofauti kisha hifadhi kwenye jokofu, kazi yako inakua kuchota kidogo na kupasha kwenye Microwave tu.
Mtembelee Aroma of Zanzibar YouTube atakupa muongozo wa kupika vyakula mbali mbali mimi huyu ni mkombozi wangu.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Hahaha mbona makapi, aisee kila muda kukaa jikon ni kipaji hicho kimenishinda. Nakula tu makapi na viporo.Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.
Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.
Kisingizio cha watoto wa uswahilini, Mahoteli yote makubwa vyakula ni vya kwenye friji, huenda hujui mbinu za kuhifadhi, si kila mtu anajua, sawa shosti?Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.
Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.
Nutela ni nini? Hivyo vingine ninavyo, vinafaa asbh na ikitokea jioni sometimes sawa lakini sasa ndio uwe unalalia kila siku ni utadhoofu Mkuu?Nunua nutela...nunua mkate mzur mlaini..blue band....uwe na kahawa na nido..aisee utaish maisha rahis snaa..yaan we ni kuchemsha maj tuu na kupaka mkate kwisha..hyo u apiga asubuh na usiku..kama simple snack
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Sikuwaza hili, jokofuna MC sina, ntajipanga asante sanaKupika kila siku kunachosha fanya hivi kama una jokofu, wewe tenga siku upike vyakula tofauti tofauti kisha hifadhi kwenye jokofu, kazi yako inakua kuchota kidogo na kupasha kwenye Microwave tu.
Mtembelee Aroma of Zanzibar YouTube atakupa muongozo wa kupika vyakula mbali mbali mimi huyu ni mkombozi wangu.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Ndomana mnakimbiwa na wanawake.Nunua nutela...nunua mkate mzur mlaini..blue band....uwe na kahawa na nido..aisee utaish maisha rahis snaa..yaan we ni kuchemsha maj tuu na kupaka mkate kwisha..hyo u apiga asubuh na usiku..kama simple snack
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukiolewa huyo mume utamlisha nini?Hahaha mbona makapi, aisee kila muda kukaa jikon ni kipaji hicho kimenishinda.... nakula tu makapi na viporo.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.