Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

kisingizio cha watoto wa uswahilini, Mahoteli yote makubwa vyakula ni vya kwenye friji, huenda hujui mbinu za kuhifadhi, si kila mtu anajua, sawa shosti?
Hahah kwahio mie mtoto wa uswahilini tena 🤣🤣🤣!!?

Sawa kila mtu abaki na imani yake ila mie binafsi chakula kikilala frijini siinjoy kukila. Kama huamini pika maharage fresh kisha kula yakitoka jikoni tu usikie ladha yake kisha yalaze kwenye friji kesho yake uyapashe uone kama yatakuwa na ladha ile ile.?
 
nunua nyama chemsha weka kweny friji kazi yako ina kua ni kuunga tu
ama uwe na soseji za kutosha kwenye friji yako hizi una weza ukawa una unga kweny tambi

uwe na trey ya mayai kienyeji ndani

uwe na tambi zile spaghet ama zile ndogo ndogo zenye ladha ya kuku kazi yako ni kuchemsha tu

una weza pia ukawa na viaz mviringo hiv una chemsha na kuunga na nyama una kula

weka dumu la maziwa fresh/mtind kweny frij

Sent using Xiaomi Redmi Note7 Pro
 
Super ...
Tambi ndogo ndogo zipi? Unasemea zile za macaroni au
 
Ugali na dagaa mchele wa 500.

gadaa, nyanya2, carot1, na kitunguu maji1

kwenye jiko la gesi ni dk5

NB: MBOGA NA UGALI VINALIWA KWENYE VYOMBO VILIVYOPIKIWA KUPUNGUZA KAZI YA KUOSHA VYOMBO
Salut nyng kwako mkuu umetisha [emoji23][emoji23] sema nn mkuu, hvyo vyombo uktumia ikifika mwaka 1 vitupe nunua vngne maana vtakuwa na hali mbaya sana plus kutoboka kabsa [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom