Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Mkuu hebu ishi na zile ndizi mbichi.Unamenya unapitisha kisu katikat unaweka kwny mafuta.At the same time may be una Samaki mkavu kipande ni kumpasha tu.Kama una nyanya,vitunguu,tango,pilipili,parachichi unavikata chap then na ile ndizi fresh kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu
 
Kwenye kupika tabu sana mara ukate nyanya kitunguu na mengine mengi..
Wali na wenyewe Mara kuosha! Kenge kabisa kitu cha ugali na maharage ya kununua kwa mama ntilie imepita hiyo😅
Au ukitaka kuunga unakata hiyo minyanya na mitunguu ktk namna zote haijalishi limekuja umbo gani tumbo litachambua huko.. Halafu si lazima kuanza kuunga uanze na kitunguu uje nyanya utachelewa we weka vyote pandisha moto juu vilainike fasta ukizubaa unaunguza.. Halafu pembeni na mziki mzito unakuliwaza mbona kitu kinaenda fasta.. ugali hupiki wa shirika tena huo ni fasta tu.

Usiwasikilize wanaosema ndizi Mara viazi ulaya!!! Mkuu hivyo vyakula tambo mbili tu kimeisha tumbona unaanza kuitesa minyoo ya watu humo tumboni..
We ukijua unapika tambi vile unazifata tu bandika maji ukirudi yamechemka unazikata tia chumvi na limao ngoma tayari imepita hiyo..
 
Ugali na mayai..
Unapiga ugali, unapika mayai. Ugali unalia kwenye sufulia na mayai unachanganya umo umo.. Flampeni kwa mwezi inaoshwa mara moja sababu huwa haichafuki.
Unakuwa na kazi ya kuosha sufulia tu
Inafutwa na tishu tu umemaliza
 
Ugali na mayai..
Unapiga ugali, unapika mayai. Ugali unalia kwenye sufulia na mayai unachanganya umo umo.. Flampeni kwa mwezi inaoshwa mara moja sababu huwa haichafuki.
Unakuwa na kazi ya kuosha sufulia tu
Sasa kila siku utakua unakula ugali mayai?
 
Maharage yakilala ndo yanazidi utamu boss
Hahah kwahio mie mtoto wa uswahilini tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!?

Sawa kila mtu abaki na imani yake ila mie binafsi chakula kikilala frijini siinjoy kukila. Kama huamini pika maharage fresh kisha kula yakitoka jikoni tu usikie ladha yake kisha yalaze kwenye friji kesho yake uyapashe uone kama yatakuwa na ladha ile ile.?
 
Ugali na mayai..
Unapiga ugali, unapika mayai. Ugali unalia kwenye sufulia na mayai unachanganya umo umo.. Flampeni kwa mwezi inaoshwa mara moja sababu huwa haichafuki.
Unakuwa na kazi ya kuosha sufulia tu
Ugali mayai unakaba sana kooni aisee.
 
Hahah kwahio mie mtoto wa uswahilini tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!?

Sawa kila mtu abaki na imani yake ila mie binafsi chakula kikilala frijini siinjoy kukila. Kama huamini pika maharage fresh kisha kula yakitoka jikoni tu usikie ladha yake kisha yalaze kwenye friji kesho yake uyapashe uone kama yatakuwa na ladha ile ile.?
Tuko wengi,labda nieke kikiwa kibichi na kisikae mda mrefi 3_4days.Utakuta watu wanasema unachemsha maharage mengi yaweke kwenye fridge inabaki kuunga Tu lakini sioni kama yanakuwaga mazuri.

Mi kila nnapotaka kupika maharage napika naunga tunakula yanaisha,nkihitaji ntachemsha tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom