Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Kupika kila siku kunachosha fanya hivi kama una jokofu, wewe tenga siku upike vyakula tofauti tofauti kisha hifadhi kwenye jokofu, kazi yako inakua kuchota kidogo na kupasha kwenye Microwave tu.

Mtembelee Aroma of Zanzibar YouTube atakupa muongozo wa kupika vyakula mbali mbali mimi huyu ni mkombozi wangu.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.

Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.
 
Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.

Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.
Hahaha mbona makapi, aisee kila muda kukaa jikon ni kipaji hicho kimenishinda. Nakula tu makapi na viporo.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Uvivu wako wa kupika usikufanye ule makapi. Mavyakula yaliolala kwenye fridge hayanaga ladha.

Best thing ni kuacha uvivu. Pika chakula freshi ule freshi.
Kisingizio cha watoto wa uswahilini, Mahoteli yote makubwa vyakula ni vya kwenye friji, huenda hujui mbinu za kuhifadhi, si kila mtu anajua, sawa shosti?
 
Nunua nutela...nunua mkate mzur mlaini..blue band....uwe na kahawa na nido..aisee utaish maisha rahis snaa..yaan we ni kuchemsha maj tuu na kupaka mkate kwisha..hyo u apiga asubuh na usiku..kama simple snack

Sent using Jamii Forums mobile app
Nutela ni nini? Hivyo vingine ninavyo, vinafaa asbh na ikitokea jioni sometimes sawa lakini sasa ndio uwe unalalia kila siku ni utadhoofu Mkuu?
 
Duh! Sikuwaza hili, jokofuna MC sina, ntajipanga asante sana
 
Chips...tabu kumenya viazi

Ndizi mzuzu za kukaanga + juice ...hazisumbui kumenya
Mchemsho wa ndizi na nyama... Hawa majirani zangu wanaita machalali ila tabu kumenya ndizi
Coffee/ Green tea zile za tea bags + mkate/cake

Simple way ni kula mgahawani kama unahisi tabu kuosha vyombo or process za upishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…