Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa sasa kuwa mke wa pili utaweza asie?Wewe vipi jamani
Huku hutakiwi kuwa mzembe unakazaa kisawasawa pia matuzo mengi basi hapo umemaliza kaziChama la wakubwa kule tunaogopa stress ya kuchapiwa
Wewe umekosea mlango[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ambacho hamjui ni kuwa na sisi tulikuwa mabachela kama nyinyi, kwahiyo hiyo huo utamu na shida zenu tuna zijua.
Lkn wengi wenu utamu na shida ya ndoa mnavisikia tu vijiweni
Hahaaaa mnisamehe tu, kwa herini [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wewe umekosea mlango[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaaaa not to that extentNasikia kunaogopesha alafu kuna kupangiana sheria kweli mkuu?
Ila kwa kuwa we mzoefu type ushauriHahaaaa mnisamehe tu, kwa herini [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe naye roho inadundadunda.Huyu siyo mzoefu mkuu ndio kwanza kaingia mwezi uliopita Ndoa bado ya moto moto.
Hahahaha lol!inamdunda sana mkuu sisi mabachela tuko na long life