Mabachela wote single boy/Single girl

Mabachela wote single boy/Single girl

Hahaaaa nimekuja kuwa changamsha tu nyie vijana.
Lkn kusema kuwa karibuni chama la wa kubwa [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Chama la wakubwa kule tunaogopa stress ya kuchapiwa
 
Ambacho hamjui ni kuwa na sisi tulikuwa mabachela kama nyinyi, kwahiyo hiyo huo utamu na shida zenu tuna zijua.
Lkn wengi wenu utamu na shida ya ndoa mnavisikia tu vijiweni
Wewe umekosea mlango[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
ikifika wakati wa uchaguzi wa viongozi wa chama la mabachela naomba niitwe nahitaji kuchukua fomu
 
NEC tutatangaza tarehe ya uchaguzi wa ngazi tofauti tofauti za serikali ya mabachelor, na kwa wenye nia ya kuchukua fomu, mtakaribishwa na kupewa muongozo[emoji120]
 
Write your reply...Ubachelor raha sio huko ukidondosha kijiko lazima uulizwe maisha gani jitu zima eti anaaga akiondoka kurudi lazima utoe taarifa ndoa utumwa tu huku sisi unaamua ulale saa ngapi na nani tena ukiwa huru no stress narudi mda nikitaka nafanya nachojisikia sheria za nchi zinatosha hizo nyingine mnajitafutia
 
Back
Top Bottom