Mabachelor wa JamiiForums!

Mwaka huu sipitwi kabisaa.
Ngoja nianze msako polepole tu nitapata tunayeendana tabia na mawazo mazuri na yenye heri.
 
Ifike mahali watanzania tuache ujinga wa kuchangia masuala ya ndoa, vipaimara, birthday party na mambo mengine kama hayo. Mtu akitaka kufanya mambo hayo awe tayari kubeba mzigo wake. Na wengine watatoa kwa hiyari.

Jamii za watu waliostaarabika hakunaga michango ya ovyo ovyo.
 
Hapana, nataka tu Shunie awe comfortable muda wa majadiliano
Mwambie tu afute mawazo machafu.
Nitajitahidi kufuta mawazo machafu
Mawazo yake ni masafi now, ila tu unamuogopesha
Hayo mawazo ya kuitwa ukadhani unaongozwa sio masafi.
Huyu anakuogopa tu bana, si unajua unavyoogepeka
Hata sijui sababu wala ninavyoogopeka. Avatar yangu inatisha nibadili niweke ya HB au nawatukana sana watu?
Usibadili uwa nampenda pogba ana sura ya kiume ukiweka ya hb hapana jaman wengine hatupendi mahandsome nikiangalia avatar yako huwa najua Rrondo ni pogba halisi basi nakuwa na amani
Na me nimeanza kukuogopa hapa, ngoja woga uniishe kwanza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na wewe pia
 
Hellow!
Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor.
Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure.
Tuko pamoja sana.
Mkuu, nimekutumia PM kukuuliza kama umesha olewa ili mwaka huu niijaze nafasi iliyo wazi hapo moyoni mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…